Nini kinachokwamisha utekelezaji wa ujenzi wa kituo kikuu cha mabasi jiji la Arusha?

Gambo akiwa mkuu wa mkoa na baadhi ya viongozi wenzake walitaka ijengwe eneo walilohodhi aridhi kubwa ili walipwe fidia, serikali wakati wa mh. Lukuvi ikashtuka.
Aisee
Sasa wamefikia wapi?
Mikoa karibu yote stand zimejengwa.
Mtabaki Arusha tu😂
 
Kajambe mbele
 
Aisee
Sasa wamefikia wapi?
Mikoa karibu yote stand zimejengwa.
Mtabaki Arusha tu😂
Fungu la ujenzi liliamishwa hadi hapo viongozi wa mkoa wakiwemo madiwani uchwara watakaposema imetosha ijengwe kule serikali ilipoamua.

Bahati mbaya sana hawakujua kipindi kile wanaweka ubishi kwa mtu aliyekuwa na usongo wa pesa, legendary JPM so mzee baba akahamishia mkoa mwingine.

Huyu RC wa sasa mzee Mongella vile hana nguvu but angeweza mshawishi Mama President amwage mpunga, maana mkoa kitalii huu upo kiuchafu uchafu tu.
 
Stendi inajengwa mwezi wa saba mwaka huu kwenye mradi wa Tactic🙏🙏
 
Wameamua wafanye kimya kimya siyo?.
Ngoja tuone mradi ukianza, tatizo hawa watu wa arusha wana ujuaji wakipumbavu na ujinga, wakicheza tena na huu mradi wasahau kuhusu stendi.
 
Habari bila picha hainogi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…