Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Ni tetesi tu nazisikia hazijathibitishwaKwa hiyo ndo kadhira hadi hajawaalika kwenye mnuso wake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni tetesi tu nazisikia hazijathibitishwaKwa hiyo ndo kadhira hadi hajawaalika kwenye mnuso wake
Kwahiyo mpaka viongozi wa simba waende ndio sherehe ingekua shereheSherehe ya Jana hadi kikwete alikuwepo
Ndio maana nilikuuliza wewe za wafanyakazi wenzio zote ulienda. Na ambazo hujaenda je uko na mgogoro naoMfanyakazi mwenzao
Swali lingine umejibu kingine. Mchana mwemaMimi boss wangu alikuja
Hoyo harusi imegharimiwa kila kitu na gsm ndio maana viongozi wa simba,walikataa kwendaKwa ufatiliaji wangu wa mitandao ya kijamii mpaka muda huu katika harusi ya ndugu yetu Manara Jana, sijamuona kuongozi yeyote wa Bodi ya Simba, sio Moo, Hans, Babra wala Rage. Je hii inamaana gani hawakupewa mialiko au?
Nimemuona hadi GSM pale, nimeona viongozi wengi na mashabiki wengi lialia wa Yanga wanampongeza ila Mo hata kupost insta hajapost, Simba SC nao insta hawajapost.
Je, inamaanisha kuna sintofahamu ndani ya Msimbazi kati ya matajiri na Manara au ni Mimi tu sijapata kuona ila walikuwepo wote?
Anapambana halipwi.????[emoji28][emoji28][emoji28]walitakiwa wakampe support jamaa anapambana sana
Haji ni mtoto wa Yanga japo yuko Simba kiufupi "mzazi hauwi!"Kwa ufatiliaji wangu wa mitandao ya kijamii mpaka muda huu katika harusi ya ndugu yetu Manara Jana, sijamuona kuongozi yeyote wa Bodi ya Simba, sio Moo, Hans, Babra wala Rage. Je, hii inamaana gani hawakupewa mialiko au?
Nimemuona hadi GSM pale, nimeona viongozi wengi na mashabiki wengi lialia wa Yanga wanampongeza ila Mo hata kupost insta hajapost, Simba SC nao insta hawajapost.
Je, inamaanisha kuna sintofahamu ndani ya Msimbazi kati ya matajiri na Manara au ni Mimi tu sijapata kuona ila walikuwepo wote?
We mwanaume wa dar hebu niambie bwabwa ni niniUnaonaje aibu mtoto wa kiume au we nawe bwabwa.
Kwa ufatiliaji wangu wa mitandao ya kijamii mpaka muda huu katika harusi ya ndugu yetu Manara Jana, sijamuona kuongozi yeyote wa Bodi ya Simba, sio Moo, Hans, Babra wala Rage. Je, hii inamaana gani hawakupewa mialiko au?