Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
...👊👊👊...Mkuu alishasema hataki mapicha picha, yeye anataka kazi tu kwahiyo tusubirie ma-anko na ma-anti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
...👊👊👊...Mkuu alishasema hataki mapicha picha, yeye anataka kazi tu kwahiyo tusubirie ma-anko na ma-anti
Dawa ni kumwambia alete vyeti vya shule.Umesema kweli, nadhani kitu kimoja hata viongozi wanatamani sana wamuondoe Manara, wanaamini sana kwamba manara anajipatia umaarufu kupitia matangazo mbali mbali na wadhamini sema kinachowazingua ni reaction ya mashabiki Manara ameshajijenga saaana hata wakimuondoa hiyo reaction ya mashabiki sijui itakuaje tu.
Nimeongea hivyo kufuatia ile issues ya Kaduguda kwenda WASAFI then akajisafisha peke yake zigo lolote la lawama akamptupia Manara.
Ni mawazo yangu tu lakini.
Watu wa Utopolo mnapenda sana vya bure mlienda kula tu pale.Kwa ufatiliaji wangu wa mitandao ya kijamii mpaka muda huu katika harusi ya ndugu yetu Manara Jana, sijamuona kuongozi yeyote wa Bodi ya Simba, sio Moo, Hans, Babra wala Rage. Je, hii inamaana gani hawakupewa mialiko au?
Nimemuona hadi GSM pale, nimeona viongozi wengi na mashabiki wengi lialia wa Yanga wanampongeza ila Mo hata kupost insta hajapost, Simba SC nao insta hawajapost.
Je, inamaanisha kuna sintofahamu ndani ya Msimbazi kati ya matajiri na Manara au ni Mimi tu sijapata kuona ila walikuwepo wote?
Sawa mke wa ManaraHivi aliyewaambia Manara ni Simba nani?
Manara yupo Simba kikazi zaidi.
Ni mpenzi na mkereketwa wa Yanga. Na ndio maana kawaalika Yanga wenzie.
Mwenyewe anajisifia mtoto wake Yanga lialia. Mliokuja mjini miaka ya Karibuni au umri wenu mdogo atawazuga sana.
Huo ni uwezo wako Mdgo wa Ku evaluate and analyze mambo. Issue ya harusi sio ya klabu. Think twiceKwa ufatiliaji wangu wa mitandao ya kijamii mpaka muda huu katika harusi ya ndugu yetu Manara Jana, sijamuona kuongozi yeyote wa Bodi ya Simba, sio Moo, Hans, Babra wala Rage. Je, hii inamaana gani hawakupewa mialiko au?
Nimemuona hadi GSM pale, nimeona viongozi wengi na mashabiki wengi lialia wa Yanga wanampongeza ila Mo hata kupost insta hajapost, Simba SC nao insta hawajapost.
Je, inamaanisha kuna sintofahamu ndani ya Msimbazi kati ya matajiri na Manara au ni Mimi tu sijapata kuona ila walikuwepo wote?
ndio maana halisi ya utopolo na lile delaHuo ni uwezo wako Mdgo wa Ku evaluate and analyze mambo. Issue ya harusi sio ya klabu. Think twice
Inaonekana imekuuma sana kusikiaSawa mke wa Manara
Nyie wanawake huwa kwa kufuatilia issues za watu hamjambo. Fanyeni kazi jamani.huu muda mnatoa wapi?yaani ni udaku kila sehemu. Get busy woman. Sisi wanaume hata kujua hilo jambo hatukujua.Kwa ufatiliaji wangu wa mitandao ya kijamii mpaka muda huu katika harusi ya ndugu yetu Manara Jana, sijamuona kuongozi yeyote wa Bodi ya Simba, sio Moo, Hans, Babra wala Rage. Je, hii inamaana gani hawakupewa mialiko au?
Nimemuona hadi GSM pale, nimeona viongozi wengi na mashabiki wengi lialia wa Yanga wanampongeza ila Mo hata kupost insta hajapost, Simba SC nao insta hawajapost.
Je, inamaanisha kuna sintofahamu ndani ya Msimbazi kati ya matajiri na Manara au ni Mimi tu sijapata kuona ila walikuwepo wote?
Tunafahamiana sana.Yeye anakufahamu wewe?
Sema Babra kasimama mzee, nisham DM sana insta hajibu, una connection zake?Nyie wanawake huwa kwa kufuatilia issues za watu hamjambo. Fanyeni kazi jamani.huu muda mnatoa wapi?yaani ni udaku kila sehemu. Get busy woman. Sisi wanaume hata kujua hilo jambo hatukujua.
Mleta uzi anawashwa kinomaBabra mbona alikuwepo kwa niaba ya body ya wakurugenzi hadi TV katunzwa na moo dewji