Nini kinaendelea kati ya viongozi wa Simba na Manara?

Ila Watanzania bana. Wewe sheria za wafanyakazi wenzio wote umehudhuria. Je ambazo hujahudhuria uko na mgogoro nao?
 
Hoyo harusi imegharimiwa kila kitu na gsm ndio maana viongozi wa simba,walikataa kwenda
 
Utopolo mnawekeza nguvu nyingi kwenye kufitini kama kina mama. mlikuja na Kagere na Boko mkapewa spana mmekuja na stori za manara eti hajapostiwa. dume zima unalilia manara kupostiwa
 
Haji ni mtoto wa Yanga japo yuko Simba kiufupi "mzazi hauwi!"
 
Asee!
Ndiko tumefika huku?
Watu kama wewe unataka kuwaendesha matajiri kwa ushabiki wa bongo fleva na team wema?

Wanaume wa darisalama mnakwama wapi?Au we si mwanaume?
Isingekuwa umejiita Mr_X mi ningeamini ni demu tu kaandika mambo yao ya insta.
 
Hivi aliyewaambia Manara ni Simba nani?
Manara yupo Simba kikazi zaidi.

Ni mpenzi na mkereketwa wa Yanga. Na ndio maana kawaalika Yanga wenzie.

Mwenyewe anajisifia mtoto wake Yanga lialia. Mliokuja mjini miaka ya Karibuni au umri wenu mdogo atawazuga sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…