Nini kinaendelea kati ya viongozi wa Simba na Manara?

Dawa ni kumwambia alete vyeti vya shule.
 
Niligundua kuwa simba kuna tatizo siku ile walipotoa taarifa ya kukana alichozungumza, halafu eti hiyo taarifa imetoka katika ofisi ya habari ya simba ambayo Manara ni mhusika na hajui kaandika nani.
Nadhani busara ingetumika kama Manara alizungumza vile, wangemwomba akaombe msamaha mwenyewe au kutolea ufafanuzi wa kauli yake na sio kumkana kwa njia ile.
 
Watu wa Utopolo mnapenda sana vya bure mlienda kula tu pale.
 
Sawa mke wa Manara
 
Inakusaidia nini wewe viongozi wa simba wakipost picgmha za harusi ya manara?
 
Huo ni uwezo wako Mdgo wa Ku evaluate and analyze mambo. Issue ya harusi sio ya klabu. Think twice
 
Sawa mke wa Manara
Inaonekana imekuuma sana kusikia
Ambacho hukipendi.

Wengi mmemjua baada ya kuwa msemaji Simba. Kiasi unaamini hakuna anayemjua kabla.

Kwa taarifa yako baba yake mzazi ni mshikaji wangu na ndugu zake nafahamiana nao kitambo.

Mliokuja mjini miaka ya 2000 mkifika mjini mnasumbuankwa ushamba kujifanya mnajua.
 
Nyie wanawake huwa kwa kufuatilia issues za watu hamjambo. Fanyeni kazi jamani.huu muda mnatoa wapi?yaani ni udaku kila sehemu. Get busy woman. Sisi wanaume hata kujua hilo jambo hatukujua.
 
Nyie wanawake huwa kwa kufuatilia issues za watu hamjambo. Fanyeni kazi jamani.huu muda mnatoa wapi?yaani ni udaku kila sehemu. Get busy woman. Sisi wanaume hata kujua hilo jambo hatukujua.
Sema Babra kasimama mzee, nisham DM sana insta hajibu, una connection zake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…