Kalpana JF-Expert Member Joined Jun 16, 2017 Posts 32,603 Reaction score 62,269 Aug 18, 2022 #21 BRN said: Nyongeza..Karani na siyo Kalani.... Click to expand... Nakazia hapo kwenye "laaaaaura"" nimecheka sana aisee
BRN said: Nyongeza..Karani na siyo Kalani.... Click to expand... Nakazia hapo kwenye "laaaaaura"" nimecheka sana aisee
Kalpana JF-Expert Member Joined Jun 16, 2017 Posts 32,603 Reaction score 62,269 Aug 18, 2022 #22 Ajira ngumu sana hata ningekua sina cha kufanya bora nibaki niwapikie wtt wangu kuliko kazi za kupelekeshana kama watoto hujui kesho wataamkaje
Ajira ngumu sana hata ningekua sina cha kufanya bora nibaki niwapikie wtt wangu kuliko kazi za kupelekeshana kama watoto hujui kesho wataamkaje
FK21 JF-Expert Member Joined May 27, 2019 Posts 8,600 Reaction score 10,760 Aug 18, 2022 #23 Tuliza mzuka uandike upya
N Nicorandil JF-Expert Member Joined Aug 9, 2022 Posts 258 Reaction score 749 Aug 24, 2022 #24 Nje ya mada,,,moshi vijijini wakuu sehemu za kulala wageni bei gani? Natarajia kufanya field hapo wiki kadhaa mbele. Na chakula vipi bei inaeleweka? NB; ni student natanguliza shukrani
Nje ya mada,,,moshi vijijini wakuu sehemu za kulala wageni bei gani? Natarajia kufanya field hapo wiki kadhaa mbele. Na chakula vipi bei inaeleweka? NB; ni student natanguliza shukrani