Nini kinaendelea kwa Makalani wa Moshi vijijini siku 8 kabla ya zoezi la sensa kufanyia? Kamishina wa Sensa Taifa Anna Makinda uje fasta

Nini kinaendelea kwa Makalani wa Moshi vijijini siku 8 kabla ya zoezi la sensa kufanyia? Kamishina wa Sensa Taifa Anna Makinda uje fasta

Ajira ngumu sana hata ningekua sina cha kufanya bora nibaki niwapikie wtt wangu kuliko kazi za kupelekeshana kama watoto hujui kesho wataamkaje
 
Nje ya mada,,,moshi vijijini wakuu sehemu za kulala wageni bei gani? Natarajia kufanya field hapo wiki kadhaa mbele. Na chakula vipi bei inaeleweka?
NB; ni student natanguliza shukrani
 
Back
Top Bottom