albab
JF-Expert Member
- Jul 6, 2018
- 1,198
- 2,562
kuna mambo kadhaaa.Naomba kuelimishwa hapa, ni nini kinafanya nyumba kuonekana ndefu?
Nimepata utata Sana, baada ya kulinganisha nyumba mbili ambazo zimejengwa kwa kozi 11 hadi lenta lakini moja inaonekana ndefu na nyingine ni fupi, je shida hua ni nini Hadi kuleta utofauti huo??
Napenda kujenga nyumba ndefu ambayo inaleta mwonekano mzuri nje na ndani mzunguko wa hewa n mkubwa je natakiwa nizingatie mambo gani????
1. urefu wa msingi (ni sahihi)
2. idadi ya kozi za tofali mfano. kozi nne alafu lenta ndogo kuzia nyufa za madirisha then kozi 9 lenta tena then kozi tatu za mwisho.
3. urefu wa paa (sio sahihi sana).
NB. UREFU WA PAAA UKIZIDI UREFU WA UKUTA NI KITUKO, UKUTA UKIZIDI PAAA NI KITUKO KINGINE
SO.... lazima kuwe na uwiano kati ya ukuta na paa.