Nini kinafanya nyumba kuonekana ndefu?

Nini kinafanya nyumba kuonekana ndefu?

Naomba kuelimishwa hapa, ni nini kinafanya nyumba kuonekana ndefu?
Nimepata utata Sana, baada ya kulinganisha nyumba mbili ambazo zimejengwa kwa kozi 11 hadi lenta lakini moja inaonekana ndefu na nyingine ni fupi, je shida hua ni nini Hadi kuleta utofauti huo??

Napenda kujenga nyumba ndefu ambayo inaleta mwonekano mzuri nje na ndani mzunguko wa hewa n mkubwa je natakiwa nizingatie mambo gani????
kuna mambo kadhaaa.

1. urefu wa msingi (ni sahihi)

2. idadi ya kozi za tofali mfano. kozi nne alafu lenta ndogo kuzia nyufa za madirisha then kozi 9 lenta tena then kozi tatu za mwisho.

3. urefu wa paa (sio sahihi sana).

NB. UREFU WA PAAA UKIZIDI UREFU WA UKUTA NI KITUKO, UKUTA UKIZIDI PAAA NI KITUKO KINGINE

SO.... lazima kuwe na uwiano kati ya ukuta na paa.
 
Sawa mkuu asante kwa maelezo mazuri. Kwahiyo kozi ngapi ndo sahihi zaidi Hadi kuifikia lenta ya juu ili nyumba inyanyuke vizuri?
 
kwanza ngaliansize ya msingi wako mazingira niliyopo mimi nyumba ni ndefu sanaaaa kwa huku maelezo nilotoa awali ni nyumba ya size ya kati; yani kozi 4, lenta ndogo, 9, lenta kubwa alafu 3....
nyumba ndefu ina raha yake hata ukiwa ndani....
 
kuna mambo kadhaaa.

1. urefu wa msingi (ni sahihi)

2. idadi ya kozi za tofali mfano. kozi nne alafu lenta ndogo kuzia nyufa za madirisha then kozi 9 lenta tena then kozi tatu za mwisho.

3. urefu wa paa (sio sahihi sana).

NB. UREFU WA PAAA UKIZIDI UREFU WA UKUTA NI KITUKO, UKUTA UKIZIDI PAAA NI KITUKO KINGINE

SO.... lazima kuwe na uwiano kati ya ukuta na paa.
Kuna nyumba paa refu kuliko urefu wa kuta. Sipendi kabisa nyumba za paa ndefu.
 
Kama sio hivyo inawezekana ardhi ilipojengwa hiyo nyumba ina rutuba sana hivyo hiyo nyumba inaendelea kukuwa.
JamiiForums726260889.jpg
 
kwanza ngaliansize ya msingi wako mazingira niliyopo mimi nyumba ni ndefu sanaaaa kwa huku maelezo nilotoa awali ni nyumba ya size ya kati; yani kozi 4, lenta ndogo, 9, lenta kubwa alafu 3....
nyumba ndefu ina raha yake hata ukiwa ndani....
Kozi 13 duh! Hiyo kufunga mapazia na neti ni Hadi fundi, ila mzunguko wa hewa ndani ni mzuri mnoo. Wengi naona wanaweka kozi 11 sijui Sababu za kitaalam huwa n zipi!!?
 
kwa mazingira yangu hyo ni ya kawaida sanaa brooo
 
kwanza ngaliansize ya msingi wako mazingira niliyopo mimi nyumba ni ndefu sanaaaa kwa huku maelezo nilotoa awali ni nyumba ya size ya kati; yani kozi 4, lenta ndogo, 9, lenta kubwa alafu 3....
nyumba ndefu ina raha yake hata ukiwa ndani....
LENTA NDOGO NDO IPI HIYO?
 
kwanza ngaliansize ya msingi wako mazingira niliyopo mimi nyumba ni ndefu sanaaaa kwa huku maelezo nilotoa awali ni nyumba ya size ya kati; yani kozi 4, lenta ndogo, 9, lenta kubwa alafu 3....
nyumba ndefu ina raha yake hata ukiwa ndani....
Mkuu kwa vipimo vyako hapo juu ni urefu wa kawaida sana sbb ukiweka ceiling board haitazidi mita 3 urefu kwa ndani, na usishangae ikaonekana fupi kwa nje kutegemea na design ya paa. Pia msingi kwa vipimo vyako utakua juu sana wastani wa sentimeta 80 hivi. Nyumba nyingi unazoziona mitaani zina urefu wa mita 2.7 mpaka 3 ndio vipimo vyako vinavyo akisi.
Ningekua wewe ningefanya kozi 3, lenta ndogo(naamini ni bimu ya nchi4) hapa ningepata wastani wa urefu wa msingi 60cm, alaf koz 11, lenta kubwa(naamini 6"), alaf 3/4(kutegemeana na design ya paa) kwa vipimo hivi ndani ntapata urefu wa wastani 3.5m.
karibu
 
Pamoja ndugu wee kama unataka iwe ndefu mwambie fundi ukimaliza kufunga linter juu ya linta aweke kozi 3 tena za tofali na siku unapaua mtafute fundi mwambie anataka paa linyanyuke hapo utafurahia mwenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
Paa la Nyumba inategemea na Desing kuna French design( mijengo ya zamani) na British design ya kisasa.

Kingpost inatakiwa iwe 1/2 of wide diameter ya boma la nyuma.

Nyumba ina kuwa na paa kama mtungi. Raha yake ni kuwa nyumba haiwi na joto kabisa kutokana na insulator ya Airspace kati ya Bati na Ceiling board
 
Pamoja ndugu wee kama unataka iwe ndefu mwambie fundi ukimaliza kufunga linter juu ya linta aweke kozi 3 tena za tofali na siku unapaua mtafute fundi mwambie anataka paa linyanyuke hapo utafurahia mwenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
😆😆😆 Paa litakuwa kama zile nyumba za wamasai wa ifakara

Paa zao zimechongoka kama penseli
 
Kuna Fundi Ujenzi nilimsikia akisema Paa la Nyumba likiwa refu sana siyo vizuri maana ni rahisi kuezuliwa na Upepo.
 
Back
Top Bottom