Nini kinafanya wanawake kujifungua kwa 'operation'?

Jacobus

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
4,703
Reaction score
1,724
Jamaa yangu mmoja kaniuliza swali hivi karibuni kuwa inakuwaje wanawake wengi hapa nchini hujifungua kwa 'operation'?
Nini kinasababisha hali hii?
 
kutofanya mazoezi wakati wa mimba yaani kubweteka. labda uambiwe na doctor unahitaji bed rest. kula sana vyakula vya protin, unajua mtoto akiwa mkubwa atashindwa kutoka hata ukijifungua salama utachanika sana. usile sana mayai ukiwa na mimba. mwanamke mfupi mara nyingi anakuwa na maumbile ya mgongo mafupi sasa mtoto akiwa mrefu na mnene lazima kisu. hata warefu wengi tu wanafanyiwa operation. pia kuna jambo ambalo haliepukiki, mwanamke kuwa na nyonga ngumu. kuna wanawake wengine wamezaliwa wakiwa na nyonga ngumu kwasababu labda genes za kiume zilizidi kuliko zile za kike, kama nyonga haiko flexible vizuri, hata kama utakuwa mrefu namna gani utapigwa kisu. omba Mungu usifanyiwe operatin kwasababu ni kitu kibaya, unauguza kidonda na unabaki na kovu la maisha, pia wakati wa masika nasikia huwa wanaugua....its terrible. Mungu awasaidie.
 
Inavoonekana siku hizi wamekuwa wengi kuliko zamani sasa je sababu hizo ulozitoa ni sahihi?
 
Inategemea mwananke na mwananke au ntu na ntu ila sababu kuu ni hizi
1.Mtoto mkubwa kuliko size ya njia
2.Kuna baadhi hawataki kutanua njia wanaogopa itakua sio still picha na mnato
3.Wanaogopa kusemwa maana wengine chamber aka mtaro washazibuliwa
4.Uoga wa maumivu ya kujifungua(Kuzaa kwa uchungu)
 
Inavoonekana siku hizi wamekuwa wengi kuliko zamani sasa je sababu hizo ulozitoa ni sahihi?

huo ni uongo mkubwa. Kuna watu wanadanganya wenzao. Huwezi kunambia imbalance ya genes inafanya nyonga kuwa ngumu! Not proved not true. Vinavyosababisha siku hizi ni option ya mama(siku hizi wengi wanaomba?!), nyonga ya mama kuwa ndogo(nutritional deficiency), mtoto kuwa mkubwa zaidi, fetal distress, placenta previa, mtoto kukaa vibaya, cord prolapse, obstructed labour, mama mfupi(posibility ya nyonga ndogo, lakini hapa kuna maajabu yake), congenital malformation(eg hydrocephalus) previous operation na nyinginezo. Lakini siku hizi kuna suala la hela hivyo hospitali nyingi za private wanajiongezea kipato zaidi. Pia wadada wa siku hizi wanaogopa flavour ya uchungu ko wanaomba kupasuliwa.
 
Duh! Nyonga ngumu? Genes za mwanaume kuzidi, loh! Jamani kuna majukwaa siyo ya kujisikia kuandika unaandika tu, kama kitu siyo fani yako pita ukisoma waliyoandika wengine ili ujifunze zaidi. Tunapunguza hadhi ya great thinkers tunapoandika hoja za waganga wa kienyeji kwenye mambo ambayo ni scientific. Bado tunarudishana kwenye kutokula mayai mpaka leo? Loh! Kuna majukwaa mengi tu ya kuandika utani na vitu unavyohisi wewe. Huku hakuna mambo ya I THINK! Kama kipo kimeandikwa na kama hakipo kifanyiwe utafiti. Asante usungilo kwa maelezo yako.
 
Mkuu Jacobus,

Pamoja na maelezo mazuri ya usungilo, Nyalotsi, na wengineo, ningependa pia kusema Sababu zipo nyingi kama vile

Sababu zinazotokana na mama;
-Njia ya uzazi kuwa ndogo.
-Mama kuchoka kusukuma.
-Obstructed labour, prolonged labour.
-Damu kutoka wakati wa ujauzito katika matatizo ya Placenta Previa, na mara chache Abruptio Placenta au Ruptured Uterus.

Mtoto:
-Fetal distress.
-Mtoto kuwa mkubwa sana.
-Malpresentation(kwa kawaida mtoto hutanguliza kichwa na hivyo basi anapotanguliza kiungo kingine chochote, kuna hatari katika kujifungua kawaida).
-Mimba ya watoto wengi(multiple pregnancy) lakini hasa mtoto mmoja akiwa hayuko katika presentation ya kawaida na ECV imeshindikana-kulingana na mahali husika.

Imani/Mila🙁Myths)
-Kuogopa kuwa sehemu ya uke itakuwa kubwa.
-Kutotataka kusikia uchungu wa uzazi.
 
Last edited by a moderator:
wengine inabidi ila wengine ni fashion ya siku hizi jamani wasichana hawapendi kunya labour.poleni sana ndugu zangu,
 
Nawashukuru mno mliochangia, wengi mmechangia KITAALAMU lakini tatizo ni kuwa SIKU HIZI kujifungua kwa operation kumeongezeka sana, hii inatokana na nini hasa?
 
huo ni uongo mkubwa. Kuna watu wanadanganya wenzao. Huwezi kunambia imbalance ya genes inafanya nyonga kuwa ngumu! Not proved not true. Vinavyosababisha siku hizi ni option ya mama(siku hizi wengi wanaomba?!), nyonga ya mama kuwa ndogo(nutritional deficiency), mtoto kuwa mkubwa zaidi, fetal distress, placenta previa, mtoto kukaa vibaya, cord prolapse, obstructed labour, mama mfupi(posibility ya nyonga ndogo, lakini hapa kuna maajabu yake), congenital malformation(eg hydrocephalus) previous operation na nyinginezo. Lakini siku hizi kuna suala la hela hivyo hospitali nyingi za private wanajiongezea kipato zaidi. Pia wadada wa siku hizi wanaogopa flavour ya uchungu ko wanaomba kupasuliwa.
Je ulaji wa CHIPS hauwezi kuwa sababu ya ongezeko hilo?
 
Mkuu Jacobus,

Pamoja na maelezo mazuri ya usungilo, Nyalotsi, na wengineo, ningependa pia kusema Sababu zipo nyingi kama vile

Sababu zinazotokana na mama;
-Njia ya uzazi kuwa ndogo.
-Mama kuchoka kusukuma.
-Obstructed labour, prolonged labour.
-Damu kutoka wakati wa ujauzito katika matatizo ya Placenta Previa, na mara chache Abruptio Placenta au Ruptured Uterus.

Mtoto:
-Fetal distress.
-Mtoto kuwa mkubwa sana.
-Malpresentation(kwa kawaida mtoto hutanguliza kichwa na hivyo basi anapotanguliza kiungo kingine chochote, kuna hatari katika kujifungua kawaida).
-Mimba ya watoto wengi(multiple pregnancy) lakini hasa mtoto mmoja akiwa hayuko katika presentation ya kawaida na ECV imeshindikana-kulingana na mahali husika.

Imani/Mila🙁Myths)
-Kuogopa kuwa sehemu ya uke itakuwa kubwa.
-Kutotataka kusikia uchungu wa uzazi.

mkuu naomba niunganishe,
naomba unieleze kidogo what is abruption placenta na je husababishwa na nini??nilipata tatizo hilo wakati wa kujifungua na lilisababisha mtt wangu kufa.please naomba unisaidie kuelewa.
thanks.
 
SWEET GIRL,
Kwa lugha nyepesi Abruptio Placenta, ni kuachika/kuachia kwa kondo la nyuma(placenta) kutoka katika sehemu yake katika mfuko wa uzazi ilipojishikiza(implanted) kabla ya muda wake, na hii husababishwa hasa kuwa na shinikizo kubwa la damu katika sehemu hii au mechanical trauma n.k

Kuna vitu/mambo kadhaa husababisha/huusishwa na tatizo hili vikiwepo;

Umri(miaka chini ya 20 na umri mkubwa zaidi ya miaka 35) ,Uvutaji wa sigara, Unywaji wa pombe, madawa ya kulevya uwepo wa kifafa cha mimba, Ufupi wa mishipa ya damu inayoshikilia katika kondo, Mimba kubwa sana au mimba ya uzao/watoto wengi(mf. mapacha), kupigwa(ajali) n.k

Dalili:
-Kutokwa na damu ukeni.(wakati ukiwa na ujauzito)
-Maumivu makali sana ya tumbo.
-Kutosikia mtoto akicheza.
-Mapigo ya moyo kwenda kasi n.k.

Pamoja na haya, dada SWEET GIRL, daktari atafanya vipimo mbalimbali na kuku-grade accordingly(kulingana na dalili, muonekano na vipimo.

Mwisho ningependa kusema POLE, pole kwa kupoteza mtoto kutokana ta tatizo hili.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom