Nini kinaikumba Japan? Mwakani India inaipiku na kuwa Taifa la tatu lenye uchumi mkubwa Ulimwenguni

Nini kinaikumba Japan? Mwakani India inaipiku na kuwa Taifa la tatu lenye uchumi mkubwa Ulimwenguni

Japani ilipitwa na China 2010 na kutoleqa nafasi ya pili, kumbuka Japani imekaa nafasi ya pili kwa miaka 40.

Sasa mwakani tena inatolewa nafasi ya 3 hivyo kuangukia nafasi ya 4 ambayo nayo huenda ikaja kuotelewa tena.

Ninacho kiona Japani ni kufuata mkumbo wa USA, mfano India kwa sasa anapata mafuta kwa bei chee sana kutoka Urusi, Ilihali Japani yeye akiwa ameungana na Marekani kuiweka Urusi vikwazo amnavyo vinaithori sana Japani.
View attachment 3160033
Maendeleo ni watu, nchi inahitaji watu ili kua na maendeleo endelevu
 
The high the population, the high the economy. India ina population kubwa ambayo ni more productive ikilinganishwa na Japan iliyojaa wazee na vijana wachache.
Kwa mfano huo (population kuwa sababu), ni Vipi Tanzania yenye population kubwa kuliko jumla ya population za Kenya na Uganda iko chini kiuchumi kuliko Kenya?
Vipi kuhusu nchi kama Namibia yenye idadi ya watu isiyozidi milioni 3 lakini iko juu kiuchumi kuliko Tz yenye population ya zaidi ya watu milioni 60?
 
Kwangu mimi uhalisia ni kuwa, wahindi na wachina wengi (chini ya usimamizi na ulinzi wa serikali zao) wamewekeza sehemu nyingi duniani (hususani Afrika) wakivuna rasilimali nyingi kwa haki na hila, na kurejesha nchini mwao.
Japan hapendi hila, janja janja na tamaa ya vingi, amelizika na kujivunia kuweka standard za ubora wa maisha kwa watu wake wote. Na hilo kwake anaona linamtosha sana.
 
Pia Japan imejaa wazee! Mambo ya uzazi wa mpango usio na mpango umejibu.
Mbaya zaidi, Japanese wanajiona watu maalumu hawana utamaduni wa kukaribisha wageni - ni wabaguzi.
Hili la Japan kukataa wageni i think unalazimika kwenda kufanya homework yako vizuri. Japan inaruhusu hadi kuoana na watu wa race zingine hadi blacks, na ukipata mtoto wa Kijapan and say mkazaa na mtoto, wewe kupata uraia or permanent resident permit is more easy comparing with many countries worldwide, this include China na India vinavyo sifiwa na mleta uzi hapa.
 
Kwangu mimi uhalisia ni kuwa, wahindi na wachina wengi (chini ya usimamizi na ulinzi wa serikali zao) wamewekeza sehemu nyingi duniani (hususani Afrika) wakivuna rasilimali nyingi kwa haki na hila, na kurejesha nchini mwao.
Japan hapendi hila, janja janja na tamaa ya vingi, amelizika na kujivunia kuweka standard za ubora wa maisha kwa watu wake wote. Na hilo kwake anaona linamtosha sana.
Sio kua ameridhika
Huo unyonyaji unaosema Japan alishaufanya miaka mingi sana huko nyuma
Japan alikua mkoloni wa Asia ,hivyo alikwiba na kunyonya vingi
Ni KAMA uingereza
 
Ukitazama waTanzania namna tunavyoendesha mijadala inayohusu siasa za kimataifa na kiuchumi......mihemko iko juu kuliko weledi........

Bado sijaona hoja nzito zinazoelezea anguko la Japan kiuchumi zaidi ya kejeli, dhihaka na ushabiki........
 
Hili la Japan kukataa wageni i think unalazimika kwenda kufanya homework yako vizuri. Japan inaruhusu hadi kuoana na watu wa race zingine hadi blacks, na ukipata mtoto wa Kijapan and say mkazaa na mtoto, wewe kupata uraia or permanent resident permit is more easy comparing with many countries worldwide, this include China na India vinavyo sifiwa na mleta uzi hapa.
Ukikibganidha na mataifa mengine, Japan imefunguka. Kadiri ya makala kupitia NHK utamaduni asili wa Japan wengi haupendelei kuchangamana.
Ilikuwa sehemu ya mjadala nini wanaweza fanya kuongeza watu vijijini kwa kuwa baadhi ya vijiji huduma za jamii kama elimu zimesitishwa kwa ukosefu wa watu.
 
Hilo la ukosefu wa watu kwa Japan nakubaliana na wewe 100% but kuhusu kuoana na mataifa mengine, Wajapan hawana shida kubwa sana kama mataifa mengi ya Asia hasa India and China as well. Hapa hapa Bongo tu, nani humu anaweza kusema ana girl friend wa Kihindi? Ninao rafiki zangu kadhaa wapo Japan, wameoa kabisa na wamezaa watoto na hao wasichana/wanawake wa Kijapan and because of that, jamaa zangu wale wana pewa some preveledges as if nao ni Japanies. Kuhusu uzazi, hi kitu inawasumbua hadi wa Indonesia, Japan na Indonesia hawana sheria ya limit ya uzazi kama ilivo China, u busy wa wana ndoa ndio unasababisha hata muda wa kukutana na wenzi wao inakua changamoto, nimemsikia pia Kim Jo wa North Korea nae anawaomba wanawake wa Kikorea kulegeza mayai wazae. Ni changamoto sana. Kwa bongo hapa, kuna baadhi ya wilaya, SIJUI. Makete being one of them. Unakuta baadhi ya miaka, shule ya msingi mojawapo inakosa kabisa watoto waliojiandikisha kuanza darasa la kwanza. Hi ni hatari
 
Japani ilipitwa na China 2010 na kutoleqa nafasi ya pili, kumbuka Japani imekaa nafasi ya pili kwa miaka 40.

Sasa mwakani tena inatolewa nafasi ya 3 hivyo kuangukia nafasi ya 4 ambayo nayo huenda ikaja kuotelewa tena.

Ninacho kiona Japani ni kufuata mkumbo wa USA, mfano India kwa sasa anapata mafuta kwa bei chee sana kutoka Urusi, Ilihali Japani yeye akiwa ameungana na Marekani kuiweka Urusi vikwazo amnavyo vinaithori sana Japani.
View attachment 3160033
Economic development Vs Economic growth.....

zitto junior Drifter T14 Armata

Kichuguu
 
Back
Top Bottom