Mwalimu wa tuisheni
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 6,602
- 10,801
Japan wazee wamejaa sana hata covid iliwafyeka sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama taifa tumefikia kubaya sanaInabidi tuanze Export ya machawa maana tumefikia Surplus Level. Yani imefikia mtu akiamka asubuhi anaanza kwanza kumshukuru mama Samia😁
Maendeleo ni watu, nchi inahitaji watu ili kua na maendeleo endelevuJapani ilipitwa na China 2010 na kutoleqa nafasi ya pili, kumbuka Japani imekaa nafasi ya pili kwa miaka 40.
Sasa mwakani tena inatolewa nafasi ya 3 hivyo kuangukia nafasi ya 4 ambayo nayo huenda ikaja kuotelewa tena.
Ninacho kiona Japani ni kufuata mkumbo wa USA, mfano India kwa sasa anapata mafuta kwa bei chee sana kutoka Urusi, Ilihali Japani yeye akiwa ameungana na Marekani kuiweka Urusi vikwazo amnavyo vinaithori sana Japani.
View attachment 3160033
Kwa mfano huo (population kuwa sababu), ni Vipi Tanzania yenye population kubwa kuliko jumla ya population za Kenya na Uganda iko chini kiuchumi kuliko Kenya?The high the population, the high the economy. India ina population kubwa ambayo ni more productive ikilinganishwa na Japan iliyojaa wazee na vijana wachache.
Msiokuwa na hoja Huwa mnaficha ujinga wenu kwenye neno chawa 😆😆Inabidi tuanze Export ya machawa maana tumefikia Surplus Level. Yani imefikia mtu akiamka asubuhi anaanza kwanza kumshukuru mama Samia😁
Wewe ni mpuuzi toka siku ya kwanza umeingia JF. You are just as bad as Trash. Mimi sijawahi kuwa mjinga.Msiokuwa na hoja Huwa mnaficha ujinga wenu kwenye neno chawa 😆😆
Nimecheka kiseng*Wabongo bana kwa kushindanisha nchi za wengine kiuchumi. Yani sisi wenyewe tu hata kunya hatunyi ipasavyo.
View attachment 3160277
Hili la Japan kukataa wageni i think unalazimika kwenda kufanya homework yako vizuri. Japan inaruhusu hadi kuoana na watu wa race zingine hadi blacks, na ukipata mtoto wa Kijapan and say mkazaa na mtoto, wewe kupata uraia or permanent resident permit is more easy comparing with many countries worldwide, this include China na India vinavyo sifiwa na mleta uzi hapa.Pia Japan imejaa wazee! Mambo ya uzazi wa mpango usio na mpango umejibu.
Mbaya zaidi, Japanese wanajiona watu maalumu hawana utamaduni wa kukaribisha wageni - ni wabaguzi.
Sio kua ameridhikaKwangu mimi uhalisia ni kuwa, wahindi na wachina wengi (chini ya usimamizi na ulinzi wa serikali zao) wamewekeza sehemu nyingi duniani (hususani Afrika) wakivuna rasilimali nyingi kwa haki na hila, na kurejesha nchini mwao.
Japan hapendi hila, janja janja na tamaa ya vingi, amelizika na kujivunia kuweka standard za ubora wa maisha kwa watu wake wote. Na hilo kwake anaona linamtosha sana.
Mkuu vipi Nigeria wale ni watu ama majini?Maendeleo ni watu, nchi inahitaji watu ili kua na maendeleo endelevu
Ukikibganidha na mataifa mengine, Japan imefunguka. Kadiri ya makala kupitia NHK utamaduni asili wa Japan wengi haupendelei kuchangamana.Hili la Japan kukataa wageni i think unalazimika kwenda kufanya homework yako vizuri. Japan inaruhusu hadi kuoana na watu wa race zingine hadi blacks, na ukipata mtoto wa Kijapan and say mkazaa na mtoto, wewe kupata uraia or permanent resident permit is more easy comparing with many countries worldwide, this include China na India vinavyo sifiwa na mleta uzi hapa.
Cha muhimu Raia wao wanaishi vizur siyo kama Raia wa India.Akili kumkichwa,wacha waendelee kuwa vibaraka watjikuta shomoni
Hilo la ukosefu wa watu kwa Japan nakubaliana na wewe 100% but kuhusu kuoana na mataifa mengine, Wajapan hawana shida kubwa sana kama mataifa mengi ya Asia hasa India and China as well. Hapa hapa Bongo tu, nani humu anaweza kusema ana girl friend wa Kihindi? Ninao rafiki zangu kadhaa wapo Japan, wameoa kabisa na wamezaa watoto na hao wasichana/wanawake wa Kijapan and because of that, jamaa zangu wale wana pewa some preveledges as if nao ni Japanies. Kuhusu uzazi, hi kitu inawasumbua hadi wa Indonesia, Japan na Indonesia hawana sheria ya limit ya uzazi kama ilivo China, u busy wa wana ndoa ndio unasababisha hata muda wa kukutana na wenzi wao inakua changamoto, nimemsikia pia Kim Jo wa North Korea nae anawaomba wanawake wa Kikorea kulegeza mayai wazae. Ni changamoto sana. Kwa bongo hapa, kuna baadhi ya wilaya, SIJUI. Makete being one of them. Unakuta baadhi ya miaka, shule ya msingi mojawapo inakosa kabisa watoto waliojiandikisha kuanza darasa la kwanza. Hi ni hatariUkikibganidha na mataifa mengine, Japan imefunguka. Kadiri ya makala kupitia NHK utamaduni asili wa Japan wengi haupendelei kuchangamana.
Ilikuwa sehemu ya mjadala nini wanaweza fanya kuongeza watu vijijini kwa kuwa baadhi ya vijiji huduma za jamii kama elimu zimesitishwa kwa ukosefu wa watu.
Vijana wengi ambao ni chawa wa mama inatosha.Lakini bado ina uchumi mara milioni moja ukifananisha na Tanzania yako yenye vijana wengi na wazee wachache
Economic development Vs Economic growth.....Japani ilipitwa na China 2010 na kutoleqa nafasi ya pili, kumbuka Japani imekaa nafasi ya pili kwa miaka 40.
Sasa mwakani tena inatolewa nafasi ya 3 hivyo kuangukia nafasi ya 4 ambayo nayo huenda ikaja kuotelewa tena.
Ninacho kiona Japani ni kufuata mkumbo wa USA, mfano India kwa sasa anapata mafuta kwa bei chee sana kutoka Urusi, Ilihali Japani yeye akiwa ameungana na Marekani kuiweka Urusi vikwazo amnavyo vinaithori sana Japani.
View attachment 3160033