Kama ipo ipo
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 1,119
- 1,728
Maendeleo ni uwekezaji, hata kama una population billion na huja invest on them (Kuwaelimisha) hakuna kitu watafanya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona Uingereza na Germany zote zimepitwa na India pia na zimejaa wageni?Pia Japan imejaa wazee! Mambo ya uzazi wa mpango usio na mpango umejibu.
Mbaya zaidi, Japanese wanajiona watu maalumu hawana utamaduni wa kukaribisha wageni - ni wabaguzi.
Hicho ni Kisingizio export market haijapungua Duniani inazidi kuongezekaKipindi hiko India ikinunua kwa wingi kutoka Japan (na kwingineko) sasa haifanyi tena hivyo badala yake inazalisha yenyewe na kuuza nje. Export ikianza kuzidi import lazima uchumi ukue. That means kile kiasi ambacho Japan alikuwa anauza India (na kwingineko) kimepungua sana hivyo lazima uchumi wake usinyae.
Pili, purchasing power ya normal Indians imekuwa tofauti na miaka ya nyuma. Mnazalisha na kununua wenyewe na surplus Mna-export lazima uchumi uwe mkubwa plus population. Utaona India imeanza kuzidi Japan kwa aspects muhimu za kiuchumi.
Hizo sio sababu za msingi ,sababu kuu ni negative population growth,hata huko USA itafikia siku Moja in case sera za kuzuia wahamiaji zinaendelea maana hao ndio wanaochochea Nguvu kazi Mpya na ongezeko la watu.Kinachoitesa Japan na nchi za ulaya ni waliwekeza nguvu nyingi katika social issues wakasahau katika maendeleo,
Yan wao kutumia pesa nyingi kwenye Climate change, sijui haki za wanyama, mara pesa kwa ajiili ya wazee etc, sasa nchi nying uchumi wao una collapse, hakuna makampuni makubwa yanayozaliwa tena, nguvu kasi inakimbilia USA,
Kwa Utafiti wangu,Elimu inaounguza Kasi ya kuzaliana matokeo yake ni kupungua Kwa Nguvu kazi ndicho kinawakumba Japan na Western Europe na kimeanza kuwakumba China Kwa Sasa.kwani kuna umuhimu gani kunapoongezeka pato la taifa ikiwa wananchi ni dhofu hali!!!
serikali zijitahidi kupunguz kodi,misaada ya nje na ijikite kuwaongezea thamani watu wake kwa kuwapa elimu.
Social vs economic reasonsNchi nyingi huko East Asia nazo zinazalisha na kuuza sana bidhaa za viwandani tena zinazalisha Kwa ubora wa Hali ya juu na bei rafiki kidogo, hivyo nchi huko hazinunui sana kama zamani, zinanunua kidogo tu...
Nyingine nadhani ni ile Hali ya wajapani kujiona ni superior kweli kweli zaidi ya wengine Leo hii wachina wapo Kila mahali Hadi porini vijijin ndani kiasi ambacho huwezi kufikiria Yani kama ilivyo Kwa wazungu miaka ya zamani ndivyo wachina wanavyopitia hiyo stage ya kusaka taarifa, wahindi nao Kila mahali wapo, hivyo hiyo hali inaweza kupelekea arrogance na kutokubadilika katika mikakati, njia na namna gani unaweza kuingia kwa nguvu kwenye soko.
Nyingine, ni ile Hali ya confusion kipi cha kufuata kiutamaduni, Mila na jadi. Nafikiri wajapani wapo kwenye dilemma ya fikra Kwa namna gani na njia ipi ya kiutamaduni tuifuate, japani ni miongoni mwa nchi zilizoendelea zinazofuata na kupenda tamaduni zao kindakindaki, lakini Sasa vijana wa Sasa wako dilemma wafuate kipi kati ya kile wanachoambiwa na wazee wao (ambao wako wengi nao) au waende jinsi dunia inavyoenda, wahafidhina wakijapani huona kama taifa lao linaharibika Kwa kufuata sana ya nje, hii hupelekea ugumu na kutokutekelezeka Kwa baadhi ya mambo hasa yanayohitaji umoja (umoja ni uchumi) hivyo Kila mmoja anapigana vita yake mwenyewe kitu ambacho si kizuri Kwa future ya pamoja ya uchumi wa nchi.
But still, Japan wana bidhaa Bora sanaaa ambazo zimewaacha mbali mataifa mengi tu ya Ulaya.
Tutafika huko miaka ijayo.Projection inasema by 2100 tutakuwa miongoni mwa mataifa 10 yenye watu wengi Duniani and the economy so ni circle tuu ndio maana Kwa Sasa huwezi ikosa 🇹🇿 kwenye top 10 ya Uchumi,uwekey, population growth kwa Africa.JAPAN bado wako vizuri. Wakiwa wa nne bado si mbaya. Je vipi Tanzania ambayo hata uzalishaji wa mihogo tu ni shida. Tunazalisha machawa na hatuna pa kuwaexport. Tuna surplus ya machawa. Nadhani tuangalie namna ya kujikwamua sisi na si kuwashangaa waliofanikiwa au wanaofanikiwa.
Kuwa na GDP kubwa Haina maana uko vizuri kwenye welfare ,elewa hilo ila unakuwa na Nguvu za kiuchumi.Wote mnaosema india wako vizuri .........sasa mkipewa nafasi ya kwenda kuishi japan au india ..........wote mtachagua japan...........ndio mjue japan kutamu sana...........huko india wanalala mpaka barabarani wanakula vitu vichafu vichafu wako kama misukule yaani hawaeleweki.......hata kuabudu kwao ni kisanga maana kuna wengine wale sijui wa dini ya shetan wako uchi tu masaa 24 kazi kujipaka unga na kukaa pembezoni mwa bahari
Kwanza Japan haijashuka uchumi ila Kasi ya ukuaji ndio Iko slow kiasi kwamba inapitwa na wenye Kasi kubwa.- Sababu za japan kushuka kiuchumi ipo Ki demographia zaidi, ina idadi kubwa ya Wazee ambao ni tegemezi japo pia wanatumia sana Robotics kwenye uzalishaji
- India imewekeza sana kwenye viwanda vyake vya nyumbani, hawaencourage habari ya kuagiza vitu kutoka nje, na nchi yoyote ikisimamia hapo lazima ikuwe kiuchumi
Hatua waliyofikia India ndio safari ya ahadi hiyo,huwezi pata hicho unachosema bila kuwa na Uchumi mkubwa.India wanauchumi mkubwa lakini raia wake wengi ni masikini na bado technolojia Yao Iko chini sana.
Japan watu wengi wanaishi maisha mazuri na technojia yao iko juu sana.
Hata Nchi yetu tunaishindanisha mbona? Kwa Sasa tuko top 10,miaka 15 iliyopita hatukuwepo.Wabongo bana kwa kushindanisha nchi za wengine kiuchumi. Yani sisi wenyewe tu hata kunya hatunyi ipasavyo.
View attachment 3160277
Huyu mzee alikuwa na maono.India ina idadi kubwa sana ya watu na birth rate yao inazid kuongezeka kila kukicha Ndio maana Magufuli(RIP) akasema mzaliane akiamini population ikiwa kubwa basi uchumi utakuwa mkubwa
Nguvu Kazi ya taifa hakuna tena..Japani ilipitwa na China 2010 na kutoleqa nafasi ya pili, kumbuka Japani imekaa nafasi ya pili kwa miaka 40.
Sasa mwakani tena inatolewa nafasi ya 3 hivyo kuangukia nafasi ya 4 ambayo nayo huenda ikaja kuotelewa tena.
Ninacho kiona Japani ni kufuata mkumbo wa USA, mfano India kwa sasa anapata mafuta kwa bei chee sana kutoka Urusi, Ilihali Japani yeye akiwa ameungana na Marekani kuiweka Urusi vikwazo amnavyo vinaithori sana Japani.
View attachment 3160033
Thubutruuuuuuuuu na muda huo japan anasubilia tu apitwe ...?? Hata huyo mchina alimpita ki bahati nasibu tu maana baada ya kupata tsunami ndio iliwezekana .......ile tsunami iligonga kama theruthi ya japan nzima ........ na kama isingekuwa madhoruba yanayoikumba japan.........basi hilo ni mpaka yesu angerudi ndio ingepitwaKuwa na GDP kubwa Haina maana uko vizuri kwenye welfare ,elewa hilo ila unakuwa na Nguvu za kiuchumi.
Itachukua mda Kwa Watu wa India kuwa na welfare nzuri Kwa sababu wao ni wengi sana so wanatakiwa wawe na Uchumi mkubwa mara 2 au zaidi ya walionao Japan ndio pengine wanaweza kuwa na welfare nzuri Kwa watu wake.
Hatua waliyofikia India ndio safari ya ahadi hiyo,huwezi pata hicho unachosema bila kuwa na Uchumi mkubwa.
Watu ndio mtaji mkubwa
Kwani saizi alivyopitwa alikuwa hasubiri? Kati ya India na Japan Nchi gani Ina middle resources nyingi na Nguvu kazi?Thubutruuuuuuuuu na muda huo japan anasubilia tu apitwe ...?? Hata huyo mchina alimpita ki bahati nasibu tu maana baada ya kupata tsunami ndio iliwezekana .......ile tsunami iligonga kama theruthi ya japan nzima ........ na kama isingekuwa madhoruba yanayoikumba japan.........basi hilo ni mpaka yesu angerudi ndio ingepitwa
Wewe jua japan kuwa juu ni mpango wa mungu.............haiwezekani watu bilioni na usheeeeee uwapambanishe na watu milion sijui kumi na kitu sijui ishirini na kitu harafu watoke msuli sawa.......wewe mwenyewe uogopi??Kwani saizi alivyopitwa alikuwa hasubiri? Kati ya India na Japan Nchi gani Ina middle resources nyingi na Nguvu kazi?