wolverineGG
JF-Expert Member
- Feb 13, 2025
- 1,968
- 3,680
Hivo vitu me ndo siaminii kabisa.. Mademu wembamba wananitoa roho, hata awe mbaya vipi, awe na kichungi tu, thigh gap, alaf anijie na nguo fupi!!!!! Hata kama nipo msibani namzika ndugu yangu itabidi nitoweke mazishini.Hahahahaaaa
hayajawahi kumwacha mtu salama otherwise uwe wa kiroho tu mkuu! tena siku hizi yakiwa kwenye dela ni balaa tupu.
Anaibailia shingo kama ataicha urithi kwa wanae akati atakufa nayo🤣🤣Macho yakishavutiwa ubongo ukatafsiri kazi ya shingo ni ndogo sana mkuu!
Sasa wewe unanipiga neno, badala ya kunitumia ata kasadaka ninywe ata mirinda kweliHahahahaaa unabii unazidi kutimia mkuu..
Wasisahau kuhudhuria madanguro ili wapunguze upwiru, UPWIRU CAN KILL YOUBodaboda unawashaurije mkuu¡ maana dah hatari sana, unajisahau hata kama upo road.
Sawa mkuu... ila uwe unaangalia na mbele usije ukaparamia watu!Nguo inaweza ikawa fupi lakini miguu kama miche ya kinu sigeuki, demu mnene hajawahi kunigeuza hata akiwa uchi, kichungi kinavokuja ukikiangalia mapaja tuu unajua nyuma kimekaaje hapo lazima hugeuke.
Na kama ndo wapo wengi wacha niumie shingo tu mkuu, kwani shingo me nnakazi nayogani ya muhim
Ni mbinu nzuri ya kuepusha mwili kuwaka tamaa. Imani zinazokuepusha na uzinzi ukizifanyia kazi vizuri kupitia maandiko utaepukana na mengi."Nilifanya agano na macho yangu, basi nawezaje kumwangalia msichana?"
Ayubu 31:1.
Wakati na meditate hili fungu,
Ayubu anamaanisha nini?
Tusiwaangalie wasichana? Wakati yeye mwenyewe binti zake, walikuwa wazuri usoni pa nchi kuliko wengine...!
Wakuu...
Nini kinakufanya ugeuke nyuma, unapopishana na mdada mzuri?
Binafsi hua najitahidi kumwangalia mbele tu! Tukipishana nae tu najikaza zangu tu! Naimba Zaburi 23 mambo mengine yanaendelea!
Cc: Matunzo 02, Equation x Mopak de Gunner
Hahaha.Wasisahau kuhudhuria madanguro ili wapunguze upwiru, UPWIRU CAN KILL YOU
Watulizane wakiwa barabarani mkuu, maana miili yao ndio body!Bodaboda unawashaurije mkuu¡ maana dah hatari sana, unajisahau hata kama upo road.
Ni muhim mkuu, chuchu kama soksi za mlevi hua sipendi.Sawa mkuu... ila uwe unaangalia na mbele usije ukaparamia watu!
Hahahahaaaa dah, kuna mdada alikuwa amesimamisha boda h nguo fupi kavaa halafu kakaa kike aisee nikajikuta nimepigwa bumbuazi tu!Hivo vitu me ndo siaminii kabisa.. Mademu wembamba wananitoa roho, hata awe mbaya vipi, awe na kichungi tu, thigh gap, alaf anijie na nguo fupi!!!!! Hata kama nipo msibani namzika ndugu yangu itabidi nitoweke mazishini.
Umeona sasa vitu hivo, hata kama unaongea na baba ako mzazi unaweza ukakuta umemwambi "wee kaa kimya kwanza"Hahahahaaaa dah, kuna mdada alikuwa amesimamisha boda h nguo fupi kavaa halafu kakaa kike aisee nikajikuta nimepigwa bumbuazi tu!
imani ni biashara za watuKunywa maji ya uzima usihisi kiu tena mkuu!