Kweli mkuu!Ni mbinu nzuri ya kuepusha mwili kuwaka tamaa. Imani zinazokuepusha na uzinzi ukizifanyia kazi vizuri kupitia maandiko utaepukana na mengi.
Sio kama mimi akipita tu najikuta nafanya ukaguzi hata kwa kuibia sasa ukiendekeza unajikuta umesema habari yako? Then kifuatacho ndani ya masaa 72 na kuendelea ni matokeo ya kupuuza Ayubu 31:1
Na ndo maana madanguro yapo wazi wasaa 24, warudie kiasi wanaweza. Hivi unajua ukifa kwa UPWIRU kinaenda kukukuta nini huko kuzimu?Hahahaaaa
madanguro ndio wanachanyikiwa kabisa! unajua ukionja sukari lazima hamu ya kurudia ije tena!
Msaada wa kutupa mungu ni kuwalainisha mioyo yao tukiwaomba wawe wanatupa bila maswali mingi.MUNGU atusaidie, ila ikitokea ajali na wenyewe wapigwe faini maana wanatuchanganya!
Ukikite ki teenager kimevaa sketi fupi na shati bila bra ala chuchu zipo pale zinakunyooshea vidole.. Aisee bora tupate ukimwi tu, vitu sio vya kuviacha kabisaa, tena kwa gharama youoteHii part ya chuchu, hua nachanganyikiwa haswaaaa
Ukihisi kuchanganyikiwa kumbuka "nijapopita kati ya bonde la uvuli wa mauti "Hii part ya chuchu, hua nachanganyikiwa haswaaaa
Nilijua tu wapiga nyeto lazima mje mchafue hali ya hewa🤣🤣🤣Mambo yote ni ubatili. Ubatili mtupu.
Madhara ya nyeto hayoUkihisi kuchanganyikiwa kumbuka "nijapopita kati ya bonde la uvuli wa mauti "
Naomba nikurudishe nyuma kidogo,hapa anasema msichana unayesema mzuri.Je unakumbuka Enzi yako au yenu ya kabla ya uGenz au wakati wa UGenz vipi pale ulipopishana na uliowaita ama mliowaita polygon?"Nilifanya agano na macho yangu, basi nawezaje kumwangalia msichana?"
Ayubu 31:1.
Wakati na meditate hili fungu,
Ayubu anamaanisha nini?
Tusiwaangalie wasichana? Wakati yeye mwenyewe binti zake, walikuwa wazuri usoni pa nchi kuliko wengine...!
Wakuu...
Nini kinakufanya ugeuke nyuma, unapopishana na mdada mzuri?
Binafsi hua najitahidi kumwangalia mbele tu! Tukipishana nae tu najikaza zangu tu! Naimba Zaburi 23 mambo mengine yanaendelea!
Cc: Matunzo 02, Equation x Mopak de Gunner
Kama atanilamba ubo* safi tu, nayo ni starehe piaMh! inategemeana, ulikuwa na mawazo gani? maana ukiwaza tu tayari shetani anakulamba...
Mambo yote ni ubatili. Ubatili mtupu 😂Nilijua tu wapiga nyeto lazima mje mchafue hali ya hewa🤣🤣🤣