Nini kinakufanya usiisahau siku ya harusi yako?

Nini kinakufanya usiisahau siku ya harusi yako?

Mia saba

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2022
Posts
255
Reaction score
390
Vijana wengi tunaogopa kuingia kwenye ishu za ndoa rasmi Ila tunda tunapata adi Basi.

Sababu gharama za harusiNni changamoto mno.

Je, wewe uliye ingia katika ndoa kwa kufanya harusi Ni Jambo gani linakufanya huitamani hiyo siku kila siku Bila kuisahau.
 
Usiku wa kuamkia siku ya harusi nilitokewa na Jinamizi. Nikalishinda. Ilikuwa ni maono kuwa nisimuoe huyu mwanamke. Nikamuoa Kwa lazima.

Nafurahia watoto tuu.

Ilikuwaje mkuu!.....
 
Bwana harusi nilikunywa mpaka nikaenda kulala kwenye meza ya wakwe!

Nilipoondoshwa nikaenda kulalia keki nikaona haitoshi nikaenda kuzima main switch ya ukimbini halafu nikaanza kupiga kelele "mwisho wa dunia, mwisho wa dunia!"

Anko alinikata banzi moja akili ikarudi nikarudi meza kuu tukaendelea na ratiba za harusi.
 
Harusi nyingi huwa hazina furaha sana kwa wanandoa. Furaha huwa kwa wageni wachache. Kwa sababu zifuatazo.

1. Ratiba huwa ndefu na very intensive. Kuanzia asubuhi saloon, kanisani, hadi ukumbini. Kwa foleni joto na heka heka za Dar unafika ukumbini umeshisha choka.

2. Ratiba za ukumbini. Muda mrefu mmesimama. Templates ni zile zile, maharusi kuingia ukumbini, zawadi, nasaha, chakula, hupati muda wa ku enjoy.

3. Madeni, mara nyingi hadi siku ya harusi mifuko inakuwa imetoboka na unanuka madeni.

Mimi nili enjoy siku ya iliyofuata baada ya harusi. Ambapo nilitoka na mke wangu na marafiki zangu wachache na wake/wapenzi wao.

Tulikuwa couple nane tukaenda kisiwani huko ndo tukafanya shangwe za kweli.

Tulikunywa, kula, kuogelea, kucheza mziki, kula madenda, kulana n.k. Naikumbuka sana siku hii, was one of my wonderful day hapa duania.
 
Bwana harusi nilikunywa mpaka nikaenda kulala kwenye meza ya wakwe!

Nilipoondoshwa nikaenda kulalia keki nikaona haitoshi nikaenda kuzima main switch ya ukimbini halafu nikaanza kupiga kelele "mwisho wa dunia, mwisho wa dunia!"

Anko alinikata banzi moja akili ikarudi nikarudi meza kuu tukaendelea na ratiba za harusi.

[emoji23][emoji23][emoji23] we jamaa muongo
 
Hiyo siku hata sijui itakuwaje maana mke mtarajiwa ni bikra na hiyo siku ndo namgegeda kwa mara kwanza na kuendelea
 
Hiyo siku hata sijui itakuwaje maana mke mtarajiwa ni bikra na hiyo siku ndo namgegeda kwa mara kwanza na kuendelea

Hakikisha unamsaninisha mkataba ili akiwa sio bikra uka sue familia yake on court na ukadai fidia, don’t say I didn’t warn ya

#Mbuzi kwenye gunia
 
I didn't enjoy, stress za siku za nyuma kabla ya sherehe zinafanya siku yenyewe isiwe na furaha. Usiku baada ya sherehe, I fvcked just cos wanasema ni muhimu, ila I didn't want wala...

..honeymoon I had fun, little sex and relaxing basi!!
 
Harusi gani tena jamani mbona ghafla sana mpaka mmetushtua mioyo..?? 😂

anyway, nasubiri comments za wanangu waliokuwa wananipiga sound huko piemuni kuwa wako single...!
Mimi nipo singo kweli kweli hata Max anajua ilo unaweza muuliza ili kuthibitisha
 
Bwana harusi nilikunywa mpaka nikaenda kulala kwenye meza ya wakwe!

Nilipoondoshwa nikaenda kulalia keki nikaona haitoshi nikaenda kuzima main switch ya ukimbini halafu nikaanza kupiga kelele "mwisho wa dunia, mwisho wa dunia!"

Anko alinikata banzi moja akili ikarudi nikarudi meza kuu tukaendelea na ratiba za harusi.
Hahaha, umenichekesha wewe. Ya kweli haya?
 
Back
Top Bottom