Nini kinakufanya usiisahau siku ya harusi yako?

Nini kinakufanya usiisahau siku ya harusi yako?

Hiyo siku hata sijui itakuwaje maana mke mtarajiwa ni bikra na hiyo siku ndo namgegeda kwa mara kwanza na kuendelea
Hahahaha

Maake hapo kwanza ncheke 😂😂😂

Bikra ipi mkuu inazungumziwa?
 
Vijana wengi tunaogopa kuingia kwenye ishu za ndoa rasmi Ila tunda tunapata adi Basi.

Sababu gharama za harusiNni changamoto mno.

Je, wewe uliye ingia katika ndoa kwa kufanya harusi Ni Jambo gani linakufanya huitamani hiyo siku kila siku Bila kuisahau.
Mambo ya harusi bana....
Mimi sijui itakuwaje japo sidhani kama nitafanya hayo ila nilionywa na uncle wangu aliyefanya sherehe kubwa jijini Dasalam na ya mfano.

But baada ya wiki uncle alikuwa mwingi wa mawazo na hana raha kuwaona ndugu kwake, nikamuuliza uncle vipi mbona hauko Sawa?

Akadai uncle madeni ni mengi sana maana hii sherehe ilikuwa influenced na ndugu zake pasipo kutoa michango ya maana ila akaamua kuchukua mkopo ila sasa shida ni kuwa gharama ziliongezeka maradufu siku zilivyoendelea.
All in all alisema uncle beba oa haya mengine ni mbwembwe tu za walimwengu.[emoji23][emoji23]

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Usiku wa kuamkia siku ya harusi nilitokewa na Jinamizi. Nikalishinda. Ilikuwa ni maono kuwa nisimuoe huyu mwanamke. Nikamuoa Kwa lazima.


Nafurahia watoto tuu.
Kwa maana hiyo ni kweli mke hakufai?
 
Ni vile tumejaaliwa watoto.. na neyafahamu baada ya kuwa na watoto.
Lakini ulionywa mkuu.
Kwasababu huwezi kumwacha wewe ni mwanaume tafta namna ya kuifanya ndoa kuea na furaha.
Unaweza kuyapuuza mapungufu yake vinginevyo utakufa mapema
 
Back
Top Bottom