verifaidi yuza
JF-Expert Member
- Sep 13, 2018
- 2,930
- 5,913
HahahahaHiyo siku hata sijui itakuwaje maana mke mtarajiwa ni bikra na hiyo siku ndo namgegeda kwa mara kwanza na kuendelea
Hahahaha
Maake hapo kwanza ncheke [emoji23][emoji23][emoji23]
Bikra ipi mkuu inazungumziwa?
Ashauziwa mbuzi kwenye gunia uyo na kinachoshangaza ni mtu mwenye exposure ila kakubali kupelekwa maboyaHalafu akimkuta hana bikra akilalamika ataambiwa si aliapa watapendana kwa hali zote [emoji23]
Mambo ya harusi bana....Vijana wengi tunaogopa kuingia kwenye ishu za ndoa rasmi Ila tunda tunapata adi Basi.
Sababu gharama za harusiNni changamoto mno.
Je, wewe uliye ingia katika ndoa kwa kufanya harusi Ni Jambo gani linakufanya huitamani hiyo siku kila siku Bila kuisahau.
Kwa maana hiyo ni kweli mke hakufai?Usiku wa kuamkia siku ya harusi nilitokewa na Jinamizi. Nikalishinda. Ilikuwa ni maono kuwa nisimuoe huyu mwanamke. Nikamuoa Kwa lazima.
Nafurahia watoto tuu.
Ni vile tumejaaliwa watoto.. na neyafahamu baada ya kuwa na watoto.Kwa maana hiyo ni kweli mke hakufai?
HahahahaaaUsiku wa kuamkia siku ya harusi nilitokewa na Jinamizi. Nikalishinda. Ilikuwa ni maono kuwa nisimuoe huyu mwanamke. Nikamuoa Kwa lazima.
Nafurahia watoto tuu.
Lakini ulionywa mkuu.Ni vile tumejaaliwa watoto.. na neyafahamu baada ya kuwa na watoto.