Uchaguzi 2020 Nini kinampa Kheri James wa UVCCM kiburi cha matamko hatari?

Kama ni kweli aliongea hayo basi alipotoka siasa sio Uadui ni hoja kwenda mbele.

October 28th kura zote za ndio ni kwa JPM

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Hatari sana kaka. Huo unaitwa utatu mtakatifu wenye baraka zote za mzee-baba.
Huu ndio ukweli..... Yaani hao jamaa wanaruhusiwa kufanya chochote nchi hii kuliibia taifa kwa ufisadi mkubwa na hata kuua watu kwa kibali cha mjomba wao......
Yote haya yanamwisho kwani huu sio uongozi dharimu wa kwanza duniani...

October 28 tumalizane na haya
 
Ccm wanamuogopa Sana sababu akupewa hicho cheo kwa kushinda kura bali ni amri ya mjomba wake, tuliwaonya Sana ccm katiba yao ndio kitanzi chao. Mambo ya kofia mbili ni hatari yalifaa vizazi vilivyopita. Mwenyekiti atakiwi kuwa na nguvu kuliko chama ataingiza maamuzi binafsi check Sasa kajaza ndugu zake kila sehemu na hakuna wa kumpinga.

Inatakiwa mwenyekiti wa chama asiwe raisi ili waweze kudhibitiana, yaani mfano raisi akikikosea chama anafukuzwa uanachama Kama ilivyo chama cha ZANU au ANC. Leo ccm imekua ni Mali binafsi ya mwenyekiti na genge lake Hadi kasajili wasio ijua hata ccm Wala siasa za ccm kina polepole na bashiru ambao awajui chochote kuhusu sayansi ya siasa zaidi ya mipasho. Hata mpangilio wa kampeni awajui awajui wamuandalie mgombea nn cha kuongea kulingana na mahitaji ya sehemu husika, unawaambia karatu au magu eti tanunua ndege tano, nimejenga flyover, SGR Hali wao hitaji lao kuu sio hivyo.

Wajifunze hata kwa chadema kampeni zao zimegusa mahitaji sahihi ya eneo husika. Eti wanamshauri mwenyekiti kununua wanaopigiwa kura badala ya wapiga kura. Ccm leo ni Mali binafsi ya ukoo fulani wengine ni wapenzi watazamaji tu. Katiba yao ndio kitanzi kwao
 
Nilitarajia Jeshi letu la Polisi lingemkamata Bw.Kheri James kwa kutoa Matamshi ya kichochezi lakini mpaka sasa hatujasikia lolote kutoka Jeshi hilo.
 
Huu ndio ukweli..... Yaani hao jamaa wanaruhusiwa kufanya chochote nchi hii kuliibia taifa kwa ufisadi mkubwa na hata kuua watu kwa kibali cha mjomba wao.

Yote haya yanamwisho kwani huu sio uongozi dharimu wa kwanza duniani...

October 28 tumalizane na haya
 
Huu ndio ukweli..... Yaani hao jamaa wanaruhusiwa kufanya chochote nchi hii kuliibia taifa kwa ufisadi mkubwa na hata kuua watu kwa kibali cha mjomba wao......
Yote haya yanamwisho kwani huu sio uongozi dharimu wa kwanza duniani...

October 28 tumalizane na haya
 
Huu ndio ukweli..... Yaani hao jamaa wanaruhusiwa kufanya chochote nchi hii kuliibia taifa kwa ufisadi mkubwa na hata kuua watu kwa kibali cha mjomba wao......
Yote haya yanamwisho kwani huu sio uongozi dharimu wa kwanza duniani...

October 28 tumalizane na haya
 
Huyu muhutu mtoto wa dada ni muendelezo ule ule wa zile Koo zenye laana ya kumwaga damu kauli zake huwa ni za kuuwa uwa tu sababu ya ile roho ya kuuwa vikongwe na wazee Kanda ya ziwa.

Wameshindwa kwa bunduki ndo watamuweza kwa sumu. Watz tukiwarudisha tena Hawa wauaji tusilie na Mungu maana nafasi pekee ni trh 28 zaidi ya hapo wanabadili katiba awatoki Hawa salama pekee ya kuwapumzisha ni huu mwezi unaweza ukasema hayakuhusu lkn shetani Hana rafiki shetani Hana aibu.
 
Kuna koo huwa zina laana. Haiwezekana mtu mwenye roho ya kawaida akawa anapenda kuua binadamu wenzake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…