Nini kinapelekea umauti kwa kila ninayefanya nae mapenzi?

Status
Not open for further replies.

National Anthem

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2022
Posts
19,177
Reaction score
56,121
Hallo wataalamu,

Tafadhari rejea kichwa!

"Nini kinapelekea umauti kwa kila ninae fanya nae mapenzi !"

Mwanamke nikilala nae, hapitishi mwaka anakufa.

Wataalamu, humu kuna wazee wenye uzoefu na maisha na mambo mengi..

Kwenye case kama hizi kwa uzoefu wenu jambo kama hili mlitatua vipi , JF pana ina watu wa kila aina...

Hili jambo linanitaza sana.. ☹️☹️☹️
 
Hallo wataalamu !

Tafadhari rejea kichwa !

😖😖😖. Eeeeh hii kali.

Umetest mpaka kwa machangudoa 🤔.?

Kwwni hujaoa?
 
Baba Mchungaji mbona unataka kuleta mtafaruku wa bure? Kuna watu immune system itashuka na watakufa kweli within a year.

Mimi nina hint: Mungu Anakutaka urudi kule Uhabeshi kwenye kiini ili ukajitafute na kuianza safari Aliyokuandalia. Tulishawahi kuligusia hili mimi na wewe!
 
Nimetoka kwenye mkutano wa injili. Nimekaa hapa chini nikawaza sana. Ujue ilibaki kidogo sana na wife apotee. kabla yake kuna mmoja alikufa alikuwa nampenda sana
 
Hallo wataalamu !

Tafadhari rejea kichwa !

"Nini kinapelekea umauti kwa kila ninae fanya nae mapenzi !"

Mwanamke nikilala nae, hapitishi mwaka anakufa.

Wataalamu, humu kuna wazee wenye uzoefu na maisha na mambo mengi..

Kwenye case kama hizi kwa uzoefu wenu jambo kama hili mlitatua vipi , JF pana ina watu wa kila aina...

Hili jambo linanitaza sana.. ☹️☹️☹️
Pole sana Mkuu, binafsi sina utaalamu huo ila kwa uzoefu kuna mambo mawili nayaona

  • kwamba una uwezekano wa kuwa una jini mahaba ambalo halitaki uwe kwenye mahusiano na Mwanamke mwingine.
  • Inawezekana kuna mtu ulimuwekea nadhiri hutaoa/ kuwa na mwanamke mwingine zaidi yake huyo uliyempenda hata akiondoka kwenye maisha yako. Sasa hiyo nadhiri ndiyo inakutesa.
Ngoja tusubiri wenye ujuzi wa hayo mambo waje wasaidie
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom