Yaan hadi nimepatwa na woga na hofu, nakuhurumia mnooo.
Huyo lecturer wa Udom, walikuta limekomaa na limepeaa kabisaa, mtaalamu akasema haiwezekani kukata, bas imebidi abaki nalo mwenyewe tyuuh, yuko bachelaaa.
Kapoteza wanawake 3, na watoto 5. Walichelewa kugundua, hata huyo m1 aliobaki ni alikua kwa bibi yake mzaa mama ndo alipewa dawa, na mama ake alifariki akiwa ana mzaa yeye.
Mtoto mkubwaa kamaliza chuo mwaka juzi.
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Km wakisema limekomaa angalia na mtaalamu, ukiona humuamini acha, bora ubaki nalo mwenywee tyuuh. [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]