Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli 😭😭😭Una likango,
Watoto mtakao kua mnazaa wanakufa, au mimba kuharibika, na mama pia anaweza kufa.
Nenda kwa mtaalamu akachekii ukatwee, kuna lecture Udom ana mtoto m1 tyuuh, na kila mwanamke alokua anaoa anakufa, sahv yuko tyuuh bachelaa.
Inaumaa mnooo
Mzima Ankol, nimekumiss pia. Unakumbuka siku ulisema, unatamani uonane namimi? Shida ukasema ukimpenda mtu lazima afe!!!Shangazi acha tu 😭
Mzima lakini ?
Nime ku miss kweli...
Wa JF sioni ID zao zikiwa active .. huenda wamebadilisha ID
Mkuu lakini wife unaye ?hili jini mahaba, kuna pastor zamani sana alioteshwaga kwamba kuna miungu ya kike inanimiliki na inadai mie mtu wao, akabiombeaga pia ndoto zikakata maana kuna wakati nilikuwa naota kweli hadi nafanya mapenzi
Shangazi.. kweli, ndio maana nikiwa nampenda mtu kikweli kweli, namkwepa kabisaa.. kwasababu najua kitachofatia 🥲🥲Mzima Ankol, nimekumiss pia. Unakumbuka siku ulisema, unatamani uonane namimi? Shida ukasema ukimpenda mtu lazima afe!!!
Kumbe ni kweli Ankol???
Dah hawa wa JF huenda walisharudisha namba😪😪😪
Wife karudi kwao hali yake haikuwa sawaMkuu lakini wife unaye ?
Hiyo ni dili kabsa mkuu anaweza akamaki contract na serikali kbsa ili kupunguza wadada wanaojiuza[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]
Daah! Jamaa hauna huruma na dada poa mbona wako peace tu wale viumbeHiyo ni dili kabsa mkuu anaweza akamaki contract na serikali kbsa ili kupunguza wadada wanaojiuza
Kama umeshajua tatizo inakuwa ni nusu ya kulitatua.hili jini mahaba, kuna pastor zamani sana alioteshwaga kwamba kuna miungu ya kike inanimiliki na inadai mie mtu wao, akabiombeaga pia ndoto zikakata maana kuna wakati nilikuwa naota kweli hadi nafanya mapenzi
Basi Mkuu acha kuzagamua Malaya kwanza na utafute tiba sahihi za kiroho kutoka servants ofWife karudi kwao hali yake haikuwa sawa
🙏🙏🙏🙏 Asante sana mkuuKama umeshajua tatizo inakuwa ni nusu ya kulitatua.
Hayo mambo ya jini mahaba tafuta shekhe akusomee dua litatoka hilo jini
Pole sana mkuuKweli 😭😭😭
Unaona twin wangu walienda 🥲🥲🥲
baada ya hapo mama yao alikaa ICU wiki nzimaa ..
Watu wengi wananiambia hiki mnachosema,
[emoji38][emoji38]Daah! Jamaa hauna huruma na dada poa mbona wako peace tu wale viumbe
Una likangoo, tena omba Mungu liwe halijakomaa, likiwa limekomaa umpate mtaalamu haswaa anaejua kukataa, akikata vibaya linasumbua na unakufa mwenyeweeKweli [emoji24][emoji24][emoji24]
Unaona twin wangu walienda 🥲🥲🥲
baada ya hapo mama yao alikaa ICU wiki nzimaa ..
Watu wengi wananiambia hiki mnachosema,
Asante sana mtaalamuPole sana mkuu
Kila la kheri 🙏🙏🙏🙏🙏🙏 Asante sana mkuu
Bora nife mwenyewe aisee, kuua watu nimechoka 😭😭😭Una likangoo, tena omba Mungu liwe halijakomaa, likiwa limekomaa umpate mtaalamu haswaa anaejua kukataa, akikata vibaya linasumbua na unakufa mwenyewee
Hadi nimeogopaa kwa kweliii, nakuhurumia mnoo.
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Kumbe hii issue ni seriously nilikua nachukulia masihara aisee pole sana "national anthem"Una likangoo, tena omba Mungu liwe halijakomaa, likiwa limekomaa umpate mtaalamu haswaa anaejua kukataa, akikata vibaya linasumbua na unakufa mwenyewee
Hadi nimeogopaa kwa kweliii, nakuhurumia mnoo.
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]