Nini kinapelekea umauti kwa kila ninayefanya nae mapenzi?

Nini kinapelekea umauti kwa kila ninayefanya nae mapenzi?

Status
Not open for further replies.
Pole sana Mkuu, binafsi sina utaalamu huo ila kwa uzoefu kuna mambo mawili nayaona

  • kwamba una uwezekano wa kuwa una jini mahaba ambalo halitaki uwe kwenye mahusiano na Mwanamke mwingine.
  • Inawezekana kuna mtu ulimuwekea nadhiri hutaoa/ kuwa na mwanamke mwingine zaidi yake huyo uliyempenda hata akiondoka kwenye maisha yako. Sasa hiyo nadhiri ndiyo inakutesa.
Ngoja tusubiri wenye ujuzi wa hayo mambo waje wasaidie
watu wengi hata narafiki zangu wa karibu wanenipa mawazo kama haya yako . 🙏🙏🙏 Ngoja nione naishije na haya mawazo mkuu
 
Hallo wataalamu,

Tafadhari rejea kichwa!

"Nini kinapelekea umauti kwa kila ninae fanya nae mapenzi !"

Mwanamke nikilala nae, hapitishi mwaka anakufa.

Wataalamu, humu kuna wazee wenye uzoefu na maisha na mambo mengi..

Kwenye case kama hizi kwa uzoefu wenu jambo kama hili mlitatua vipi , JF pana ina watu wa kila aina...

Hili jambo linanitaza sana.. ☹️☹️☹️
Funguka kidogo.
Wamekufa wangapi hadi sasa.
Je kuna mwana jf yupo uliyempa utamu tujianfae kisaikolojia?
 
Duh pole sana! Vipi ex wako mliachana vizuri? Maana hao ma ex wa kuogopa sana. Endelea kumuomba Mungu hiyo roho ikutoke kabisa. Sio roho nzuri Kwa hatma ya maisha Yako.
mwanamke wangu wa kwanza kabisa alikuwa msomalia ndio alinitoa bikra, tulitenga kwa mda ila sijui badae kukawa na nini, paka leo chui na paka na haishi Tz
 
Kwa hiyo unawaua maksudi wewe sio mtu mzuri siutafute tiba mkuu hapo ni mambo mawili.

1. Unatego
Hii ishawatokea wengi wanawekewa tego aidha na mme au mke ili usitoke nje sasa kila mmoja na manuizo yake. Kuna mdada mmoja anaitwa X pale mtaa wa Likoma alikuwa na balaa kama lako mme wake alishafariki na alimuwekewa tego alishaua mpaka waganga yaani mganga anatibu demu anamwambia test ww papuchi haipiti week mganga anarudisha number.

2. Unapepo uliembatanishwa nae.
Wengi wanafanyiwa hii michezo kwa watoto yaani akijufungua tu pepo linakula mtoto na hata akiwa analea mtoto baki ni hivyo hivyo sasa kwako umenuizwa kwa mtindo huo.

Tafuta tiba usiue watu wasio kuwa ns hatia bora wangekiwa wanakufa wanapeleka huko Gamboshi na Diningi.
 
Baba Mchungaji mbona unataka kuleta mtafaruku wa bure? Kuna watu immune system itashuka na watakufa kweli within a year.

Mimi nina hint: Mungu Anakutaka urudi kule Uhabeshi kwenye kiini ili ukajitafute na kuianza safari Aliyokuandalia. Tulishawahi kuligusia hili mimi na wewe!
😁😁😁 Ameamua kuleta taharuki
 
Nenda uvunje hizo nadhiri pamoja na kusomewa kisomo ili huyo jini mahaba kama kweli unaye basi wamuondoshe kwa dua.
hili jini mahaba, kuna pastor zamani sana alioteshwaga kwamba kuna miungu ya kike inanimiliki na inadai mie mtu wao, akabiombeaga pia ndoto zikakata maana kuna wakati nilikuwa naota kweli hadi nafanya mapenzi
 
Wewe unataka kuleta taharuki, kuna mtu humu unataka afe kwa presha.

Amekuudhi nini?
Au unataka mtu aokoke bila kupenda?🤣🤣🤣
🥲🥲 inauma sana, nimetoka kwenye mkutano nimejikuta nahukumiwa sana. Nikasema moyoni JF kisima cha maarifa..

Naweza pata mawazo ya walio komaa na wana yajua maisha
 
Baba Mchungaji mbona unataka kuleta mtafaruku wa bure? Kuna watu immune system itashuka na watakufa kweli within a year.

Mimi nina hint: Mungu Anakutaka urudi kule Uhabeshi kwenye kiini ili ukajitafute na kuianza safari Aliyokuandalia. Tulishawahi kuligusia hili mimi na wewe!
Anataka kuchafua hali ya hewa, kuna watu watawrhuka huku haha.
Naomba wahusika wasiuone uxi huu udiku huu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom