National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,177
- 56,121
Lina nichanganya sana hiliDuuh sio pow
😖😖😖. Eeeeh hii kali.Hallo wataalamu !
Tafadhari rejea kichwa !
"Nini kinapelekea umauti kwa kila ninae fanya nae mapenzi !"
Mwanamke nikilala nae, hapitishi mwaka anakufa.
Wataalamu, humu kuna wazee wenye uzoefu na maisha na mambo mengi..
Kwenye case kama hizi kwa uzoefu wenu jambo kama hili mlitatua vipi , JF pana ina watu wa kila aina...
Hili jambo linanitaza sana.. ☹️☹️☹️
mke wangu ! nikikusimulia utashangaaa mkuu.😖😖😖. Eeeeh hii kali.
Umetest mpaka kwa machangudoa 🤔.?
Kwwni hujaoa?
Duuh 😢😥😥, ngoja wajuvi waje.mke wangu ! nikikusimulia utashangaaa mkuu.
Machanguoa wengi karibia wote nilio kula wamekufaa.. ukitaka reference twende kona bar muulize mudi
ukimwi sina mtaalamupia kwanza ukimwi
🫤🫤 nimelaza chini zaidi ya makahaba 50Duuh 😢😥😥, ngoja wajuvi waje.
Nimetoka kwenye mkutano wa injili. Nimekaa hapa chini nikawaza sana. Ujue ilibaki kidogo sana na wife apotee. kabla yake kuna mmoja alikufa alikuwa nampenda sanaBaba Mchungaji mbona unataka kuleta mtafaruku wa bure? Kuna watu immune system itashuka na watakufa kweli within a year.
Mimi nina hint: Mungu Anakutaka urudi kule Uhabeshi kwenye kiini ili ukajitafute na kuianza safari Aliyokuandalia. Tulishawahi kuligusia hili mimi na wewe!
Unajuaje🫤🫤 nimelaza chini zaidi ya makahaba 500
nope sio 500 ni 50 mkuuUnajuaje
Huwa wana jitambulisha na kusema waliko toka ao 500
Pole sana Mkuu, binafsi sina utaalamu huo ila kwa uzoefu kuna mambo mawili nayaonaHallo wataalamu !
Tafadhari rejea kichwa !
"Nini kinapelekea umauti kwa kila ninae fanya nae mapenzi !"
Mwanamke nikilala nae, hapitishi mwaka anakufa.
Wataalamu, humu kuna wazee wenye uzoefu na maisha na mambo mengi..
Kwenye case kama hizi kwa uzoefu wenu jambo kama hili mlitatua vipi , JF pana ina watu wa kila aina...
Hili jambo linanitaza sana.. ☹️☹️☹️