Nini kinapelekea umauti kwa kila ninayefanya nae mapenzi?

Status
Not open for further replies.
Kweli 😭😭😭
Unaona twin wangu walienda πŸ₯²πŸ₯²πŸ₯²
baada ya hapo mama yao alikaa ICU wiki nzimaa ..

Watu wengi wananiambia hiki mnachosema,
 
Shangazi acha tu 😭
Mzima lakini ?
Nime ku miss kweli...
Wa JF sioni ID zao zikiwa active .. huenda wamebadilisha ID
Mzima Ankol, nimekumiss pia. Unakumbuka siku ulisema, unatamani uonane namimi? Shida ukasema ukimpenda mtu lazima afe!!!
Kumbe ni kweli Ankol???
Dah hawa wa JF huenda walisharudisha nambaπŸ˜ͺπŸ˜ͺπŸ˜ͺ
 
Mzima Ankol, nimekumiss pia. Unakumbuka siku ulisema, unatamani uonane namimi? Shida ukasema ukimpenda mtu lazima afe!!!
Kumbe ni kweli Ankol???
Dah hawa wa JF huenda walisharudisha nambaπŸ˜ͺπŸ˜ͺπŸ˜ͺ
Shangazi.. kweli, ndio maana nikiwa nampenda mtu kikweli kweli, namkwepa kabisaa.. kwasababu najua kitachofatia πŸ₯²πŸ₯²
 
hili jini mahaba, kuna pastor zamani sana alioteshwaga kwamba kuna miungu ya kike inanimiliki na inadai mie mtu wao, akabiombeaga pia ndoto zikakata maana kuna wakati nilikuwa naota kweli hadi nafanya mapenzi
Kama umeshajua tatizo inakuwa ni nusu ya kulitatua.

Hayo mambo ya jini mahaba tafuta shekhe akusomee dua litatoka hilo jini
 
Kweli [emoji24][emoji24][emoji24]
Unaona twin wangu walienda πŸ₯²πŸ₯²πŸ₯²
baada ya hapo mama yao alikaa ICU wiki nzimaa ..

Watu wengi wananiambia hiki mnachosema,
Una likangoo, tena omba Mungu liwe halijakomaa, likiwa limekomaa umpate mtaalamu haswaa anaejua kukataa, akikata vibaya linasumbua na unakufa mwenyewee

Hadi nimeogopaa kwa kweliii, nakuhurumia mnoo.
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Bora nife mwenyewe aisee, kuua watu nimechoka 😭😭😭
 
Una likangoo, tena omba Mungu liwe halijakomaa, likiwa limekomaa umpate mtaalamu haswaa anaejua kukataa, akikata vibaya linasumbua na unakufa mwenyewee

Hadi nimeogopaa kwa kweliii, nakuhurumia mnoo.
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Kumbe hii issue ni seriously nilikua nachukulia masihara aisee pole sana "national anthem"
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…