Nini kinapelekea Viongozi wa Dini kutokuwa na Umoja au Mshikamano pale wanapokemea maovu katika jamii?

Bunchari

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2017
Posts
704
Reaction score
905
Habari wakuu,

Kama Mungu ni mmoja Mbingu ni moja na pia imani ni moja ni nini kinachosababisha viongozi wa dini kutokuwa na ushirikiano pale mmoja wao anapokumbana na uonevu kwa kukemea maovu.

Je, ni kwasababu Baadhi ya viongozi wana uhusiano wa karibu na serikali, hivyo hawawezi au hawako tayari kukosoa hata kama maovu yanatendeka?

Hakuna jukwaa la pamoja la viongozi wa dini ambalo lina nguvu ya kuwaunganisha kwa sauti moja wanapohitaji kusimama pamoja?

Tofauti za kimtazamo au kiitikadi kuhusu siasa, haki za binadamu, na namna ya kukemea maovu???

Huogopa kuwa wakisimama na mwenzao, nao watawekwa kwenye shinikizo au kudhibiwa na mamlaka, hivyo huamua kukaa kimya??
 
Tatizi ni kwamba, haya yanayojiita Makanisa mengi yao huanzishwa na ststem kwa ajili ya kujaribu kuua nguvu ya Makanisa Makubwa yaliyopo.

Mtu anaanzisha Kanisa lake, anajitengenezea Maaskofu kama 30 hivi, ili tu ku balance uwakilishi dhidi ya makanisa makubwa.

Makanisa mengi ya hivyo ni projects za watu, na mfumo huwa unayatumia kulingana na nyakati, mahitaji na utawala uliopo.
 
kwani gentleman,
hufahamu kwamba dini hususani ya kikristo ni kitega uchumi na ni biashara kwa baadhi ya watu hususani mitume na manabii?

Yaani biashara za manabii wote hao wenye content tofauti za kujiingizia kipato waungane wawe kitu kimoja?

nani atakubali kua mdogo kwa mwingine hali ya kua kila moja anamiliki kitega uchumi chake?

Infact,
miongoni mwao wapo wanafurahia mno mfanyibiashara mwenzao wa ukristo biashara yake kuvurugika. Hua ni wanafiki wa kiwango cha juu sana hawa jamaa 🐒
Habari wakuu
Kama Mungu ni mmoja Mbingu ni moja na pia imani ni moja ni nini kinachosababisha viongozi wa dini kutokuwa na ushirikiano pale mmoja wao anapokumbana na uonevu kwa kukemea maovu.

Jee ni kwasababu Baadhi ya viongozi wana uhusiano wa karibu na serikali, hivyo hawawezi au hawako tayari kukosoa hata kama maovu yanatendeka???

Hakuna jukwaa la pamoja la viongozi wa dini ambalo lina nguvu ya kuwaunganisha kwa sauti moja wanapohitaji kusimama pamoja???

Tofauti za kimtazamo au kiitikadi kuhusu siasa, haki za binadamu, na namna ya kukemea maovu???

Huogopa kuwa wakisimama na mwenzao, nao watawekwa kwenye shinikizo au kudhibiwa na mamlaka, hivyo huamua kukaa kimya??
,
 
kwani gentleman,
hufahamu kwamba dini hususani ya kikristo ni kitega uchumi na ni biashara kwa baadhi ya watu hususani mitume na manabii?

Yaani biashara za manabii wote hao wenye content tofauti za kujiingizia kipato waungane wawe kitu kimoja?

nani atakubali kua mdogo kwa mwingine hali ya kua kila moja anamiliki kitega uchumi chake?

Infact,
miongoni mwao wapo wanafurahia mno mfanyibiashara mwenzao wa ukristo biashara yake kuvurugika. Hua ni wanafiki wa kiwango cha juu sana hawa jamaa 🐒

,
Kama ni hivi tutafika kweli?
 
Hatuna viongozi wa umma wala wa dini wanaojali ndugu ama wananchi wao. Wengi ni waoga na wapo kwa ajili ya matumbo yao.
 
Tatizi ni kwamba, haya yanayojiita Makanisa mengi yao huanzishwa na ststem kwa ajili ya kujaribu kuua nguvu ya Makanisa Makubwa yaliyopo.

Mtu anaanzisha Kanisa lake, anajitengenezea Maaskofu kama 30 hivi, ili tu ku balance uwakilishi dhidi ya makanisa makubwa.

Makanisa mengi ya hivyo ni projects za watu, na mfumo huwa unayatumia kulingana na nyakati, mahitaji na utawala uliopo.
umemaliza kila kitu, ndio ilivyo
 
Ilivyo ni kwa sababu za utashi wa mwanadamu , mwanadamu ni mtenda dhambi so ni rahisi sana kupindisha mambo ..Wewe jifunze maandiko Ukifuatilia tabia za watu utachoka.

Wengine ni maslahi ya mtu binafsi na familia yake. Mtume Muhammad kwa sisi waislamu alisema '' Fitna kubwa katika ummah huo wa mwisho itakuwa na mali (wealth) ''
 
kwani gentleman,
hufahamu kwamba dini hususani ya kikristo ni kitega uchumi na ni biashara kwa baadhi ya watu hususani mitume na manabii?

Yaani biashara za manabii wote hao wenye content tofauti za kujiingizia kipato waungane wawe kitu kimoja?

nani atakubali kua mdogo kwa mwingine hali ya kua kila moja anamiliki kitega uchumi chake?

Infact,
miongoni mwao wapo wanafurahia mno mfanyibiashara mwenzao wa ukristo biashara yake kuvurugika. Hua ni wanafiki wa kiwango cha juu sana hawa jamaa
 
Back
Top Bottom