,Habari wakuu
Kama Mungu ni mmoja Mbingu ni moja na pia imani ni moja ni nini kinachosababisha viongozi wa dini kutokuwa na ushirikiano pale mmoja wao anapokumbana na uonevu kwa kukemea maovu.
Jee ni kwasababu Baadhi ya viongozi wana uhusiano wa karibu na serikali, hivyo hawawezi au hawako tayari kukosoa hata kama maovu yanatendeka???
Hakuna jukwaa la pamoja la viongozi wa dini ambalo lina nguvu ya kuwaunganisha kwa sauti moja wanapohitaji kusimama pamoja???
Tofauti za kimtazamo au kiitikadi kuhusu siasa, haki za binadamu, na namna ya kukemea maovu???
Huogopa kuwa wakisimama na mwenzao, nao watawekwa kwenye shinikizo au kudhibiwa na mamlaka, hivyo huamua kukaa kimya??
Kama ni hivi tutafika kweli?kwani gentleman,
hufahamu kwamba dini hususani ya kikristo ni kitega uchumi na ni biashara kwa baadhi ya watu hususani mitume na manabii?
Yaani biashara za manabii wote hao wenye content tofauti za kujiingizia kipato waungane wawe kitu kimoja?
nani atakubali kua mdogo kwa mwingine hali ya kua kila moja anamiliki kitega uchumi chake?
Infact,
miongoni mwao wapo wanafurahia mno mfanyibiashara mwenzao wa ukristo biashara yake kuvurugika. Hua ni wanafiki wa kiwango cha juu sana hawa jamaa 🐒
,
umemaliza kila kitu, ndio ilivyoTatizi ni kwamba, haya yanayojiita Makanisa mengi yao huanzishwa na ststem kwa ajili ya kujaribu kuua nguvu ya Makanisa Makubwa yaliyopo.
Mtu anaanzisha Kanisa lake, anajitengenezea Maaskofu kama 30 hivi, ili tu ku balance uwakilishi dhidi ya makanisa makubwa.
Makanisa mengi ya hivyo ni projects za watu, na mfumo huwa unayatumia kulingana na nyakati, mahitaji na utawala uliopo.
kwani gentleman,
hufahamu kwamba dini hususani ya kikristo ni kitega uchumi na ni biashara kwa baadhi ya watu hususani mitume na manabii?
Yaani biashara za manabii wote hao wenye content tofauti za kujiingizia kipato waungane wawe kitu kimoja?
nani atakubali kua mdogo kwa mwingine hali ya kua kila moja anamiliki kitega uchumi chake?
Infact,
miongoni mwao wapo wanafurahia mno mfanyibiashara mwenzao wa ukristo biashara yake kuvurugika. Hua ni wanafiki wa kiwango cha juu sana hawa jamaa