macho manne
Senior Member
- Jan 10, 2017
- 102
- 47
Kama WK 2
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HapanaKama WK 2
Nenda kafanye kipimo kinachoitwa reproductive hormone profile then watajua ipi haiko Sawa na matibabu yataanzia hapo!matibabu ni nini sasa?
21Una umri gani?
saw aNenda kawaone madaktar bingwa wa wanawake
hospital GaniNenda kafanye kipimo kinachoitwa reproductive hormone profile then watajua ipi haiko Sawa na matibabu yataanzia hapo!
Niko na hii hali mwaka sasa..Inaonekana kuna dozi au dawa ulitumia ikavuruga homoni au ulikuwa na msongo wa mawazo sana kupelekea hiyo hali
Punguza kuwa na mawazo
Pole sana...Nikudhamini bibie? maana afya ya uzazi ni muhimu sanaNiko na hii hali mwaka sasa..
mawazo nnayo ndio
nahisi hata Mimi kuna dawa imevuruga homoni.
Ila sijui cha kufanya...
uwezo wakupima ma homoni balance sina name bima sins.,[emoji22]
nitashukuru ukinidhaminiPole sana...Nikudhamini bibie? maana afya ya uzazi ni muhimu sana
Ulishatumia vidonge vya emergence contracepitive?
hata najua nduguAu njia ni nyembamba zinatoka kwa shida
Mpendwa ninamfaham mtu aliwah kuwa na tatizo kma lako na akatibiwa kwa sasa yupo powa kabisa.Ikiwezekana nitakuunganisha naeinatoka kwa kiasi kidogo, mfano; Kama nitakaa na pedi kutwa nzima ya masaa12 haijai.
inatoka kidogo kidogo Sana
halafu tumbo linauma Sana pia.
na linaweza anza kuuma hats siku10 kabla ya period
in zinakujaga wakati mwingine baada ya siku40-50
Yaani papuchi yako huijui vizuri?hata najua ndugu
niunganishe [emoji22]Mpendwa ninamfaham mtu aliwah kuwa na tatizo kma lako na akatibiwa kwa sasa yupo powa kabisa.Ikiwezekana nitakuunganisha nae
siijui vizuri,sijioniYaani papuchi yako huijui vizuri?
Kwa maelezo yako nakushauri uende ukamwone gynaecologists mapema iwezekanavyoinatoka kwa kiasi kidogo, mfano; Kama nitakaa na pedi kutwa nzima ya masaa12 haijai.
inatoka kidogo kidogo Sana
halafu tumbo linauma Sana pia.
na linaweza anza kuuma hats siku10 kabla ya period
in zinakujaga wakati mwingine baada ya siku40-50