princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,245
- 18,347
- Thread starter
- #61
[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]itabidi nijichange niende.Nenda kwa dr bingwa wa maswala ya wanawake. Kuna vitu vingi vinavyosababisha kuwa na tatizo kama hilo.
Dr atakuuliza historia yako na wazazi wako then atafanya vipimo ambavyo atagundua ni nini.
Ila mawazo yangu kidogo nafikiri mayai hayapevushwi vizuri na pia kuta za kizazi ni nene kuliko kawaida.
Sent from my HS-U971 using JamiiForums mobile app