princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,245
- 18,347
- Thread starter
- #41
sinaKapime mimba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sinaKapime mimba
sawa nitafanya hivoKwa maelezo yako nakushauri uende ukamwone gynaecologists mapema iwezekanavyo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] see usiijui vizuri,sijioni
sawa nitajitahidiNenda muhimbili ukamuona dr wa magonjwa ya wakina mama nadhani pale gharama hazifiki hsptl binafsi
Au nenda sinza mico hsptl ni maalum kwny mambo ya kina mama na uzazi
Pole sana ndugu, yakupasa ukafanyiwe vipimo vinginesina
kawaone ma daktari my x galfriend had the same problem na alienda hospitali akapata tiba,coz ukiwa hivyo hata mimba huwezi kushikantazibalance vipi sasa[emoji22]
ni kweli huwezikawaone ma daktari my x galfriend had the same problem na alienda hospitali akapata tiba,coz ukiwa hivyo hata mimba huwezi kushika
Kwa hyo kamuone dr mapema b4 its late,uko wapi?ni kweli huwezi
Hapana1. Kama umeweka loop ya kuzuia mimba.
2. Kama ndiyo umetoka kutoa mimba siku siyo nyingi.
Pole.. Siyo issue lakini. Inaweza kuwa...Hapana
nna stressPole.. Siyo issue lakini. Inaweza kuwa...
1. mwili wako unapitia mabadiliko fulani ya ki hormone.
2. Unatabia ya kujisafisha kwa kujiingiza vitu ukeenii..
3. Aina ya vyakula unavyopend kula.
4. Una stress, unafanya kazi nyingi kwa muda mrefu bila kujihurumia
5. Una mimba.
sidhani.√√Labda unaupungufu wa damu ndo mana damu zinatoka chache
√√ kula mboga za majni zitasaidia kuongeza damu na utaingia mwezini bila wasiwasi atiii
kweli?That's hormanal imbalance, check for medical assistance,! its very cmple Rx