Nini kinasababisha hedhi kutoka kidogo Sana?

[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]itabidi nijichange niende.
 
Habari zenu.
nauliza; hivi nini kinasababisha hedhi kutoka kidogo Sana.......?
Tiba take nini ........?
madhara yake ni nini.....?
Nenda kapime Hormone imbalance zipo sawa? ukipima na kuonekana upo sawa basi utakuw auna pepo mchafu ndio anye haribu siku zaklo za hedhi na kukutia ugonjw awa wasiwasi na kukuotesha ndotombaya unapo lala usiku. Nenda kapiem kisha uje unipe Feedback mimi Herbalist Dr.MziziMkavu.
 
nitafanya hivo
 
Habari zenu wana jf naombeni kujuzwa juu ya hili .... Nilikua na ujauzito badae nkaanza kupata period nkaenda Hosp wakaniambia .Nliharibikiwa na ujauzito wa mwezi,nikapata kubleed Sikh zaid ya 28 nkarud tena hospital wakanipiga ultrasound wakasema hakuna tatizo nikarudi nmekaa kama siku tano bila bleed ila uchafu mweusi nkamtafuta Dr akasema ni damu ilikosa oxygen Ila haina shida then Sikh ya sita nkapata tena period this time ikawa zaid ya Sikh ninazopataga period ya kawaida nikarud tena Hosp baada ya kubleed Sikh Tisa wakanpga ultrasound kukawa hakuna tatizo Dr akasema hawezi kunipa dawa kwasabu hakuna tatizo ila baada ya hizo siku Tisa ule uchafu wa dark brown ukaendelea kutoka ukiwa mzito ila kadri Siku zinavoenda unazidi kuwa watery na kidogo napata muwasho kwenye midomo ya uke shida inakuja Leo nmepata kuona damu then baada ya muda inaonekana nyeusi kwenye pedi je hilo ni tatizo gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…