Nini kinasababisha Lady Jaydee atake kujiua?

ila ule ukweli kwamba sisi binadaamu tunajiaminisha kuwa ukiwa na pesa matatizo yako yote yatakuwa yamekwisha na kuwa na furaha,amani kila wakati lkn ni uongo dada etu apo anamahela kama yote lkn bado anataka kujiuwa.iman ndo imemsaidia mpk xx yuko hai na kachana na hiyo mambo ya kujiua, tutengeneze amani na furaha katika familia zetu hata kama huna pesa utaishi vizuri sana.
 
Pambana na hali yako ya Lady JD ni yake,badala ya kutafuta pesa unataka tupoteza muda na bundle zetu kujadili mambo binafsi,wewe nani kakujadili?badala ya kujadili mfuate ukamuulize au mkajadiliane yeye binafsi ndie anajua sababu huku kututaka tujadili mambo tusiyoyajua ni kuleta umbeya na hata unaweza kushtakiwa kule TCRA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…