Huyu mtoto amekosaje rent?! Au kuna mengine nyuma ya paziaView attachment 879709Usuperstar kazi.
Nan alikwambia ukaoe kwa hao wapuuz
Zamani sana tuliwahi ambiwa kuwa ana mtoto mkubwa tu ila yuko sirini! miaka hiyo hana hata umaarufu..akiimba taarabu tanga !Ana watoto wangapi? Hili ndio jibu la msongo wa mawazo
Duuu hii sikuwahi kuiskia naipata kwakoZamani sana tuliwahi ambiwa kuwa ana mtoto mkubwa tu ila yuko sirini! miaka hiyo hana hata umaarufu..akiimba taarabu tanga !
Kama ni kweli basi yupo kwenye 20's za mbali...
Huyu dada anamajivuno sana na wala siyo mtu poa kabisa ana kautemi flan hiv kakipuuz puuz. Kwa kifup Mimi simpend na huwa sipend watu wenye majivuno kama huyu manzi
Tatizo lake anapenda wanaume walevi na mashorobaro. Naishia hapo
Sumu haiexpaiNina kasumu kalibakia home kwangu kama atahitaji, maana kataeksipaya bure
Karma is a bitch,inawezekana Mnaigeria naye kaota mbawaDhambi ni mbaya sana na inawatafuna watu mdogo mdogo pasipo wahusika kujua.
Binafsi nampenda sana jide kwani tofauti na wasanii wengine hapa bongo yey ana personality yake nzuri sana.
Kinamfanya ajiue ni relationship!
Why?
Alipokonya mume wa mtu kibabe (Gardner) na hakuishia hapo bali alimpiga huyo mtu.
Madhara yake kakaa kwenye ndoa miaka 10 isiyo na furaha najua G Habash alikua analazimisha na alikua hapo kwa sababu jide ni celebrity na ana mkwanja mrefu so mzee baba akachuku fursa.
Hii kitu ndiyo iliyomchukua mke wa swahiba wangu mcheshi... very painful I feel ila hayo ndio malipo ila MUNGU anatoa nafasi ya kutubu na kuomba masamaha. Pole sana mzee baba what goes up must come down, a lesson learned.
Sijui kwanini watu hawaoni kiama cha haya mambo as I know wa akili kubwa.
Finally pole mama kamwombe radhi msomali failure to that death will hunt you everywhere wala hutakaa uwe na amani maisha yako yote haiajalishi uana mkwanja kiasi gani happiness is another issue. Maneno yangu ni makali ila ukiyafuata yatakutoa kwenye pepo la umauti. Very sad... maumivu ya mwenzio hayo...
Stress tu hzoWakuu,
Kama mjuavyo Lady Jay dee ni msanii mkongwe hapa nchini Tanzania.
Na amekuwa akifanya vizuri katika muziki huu wa Bongo.
Katika vitu nilivyojifunza kwa mwanadada huyu mkongwe wa muziki ni pamoja na kuumizwa na mapenzi.
Maana mara nyingi amekuwa akiimba nyimbo za mapenzi zenye ujumbe wa kuachwa.
Pia tulishuhudia alipoachana na mumewe aliyumba sana.
Sasa wakuu tuje kwenye mada nimeona huyu msanii Jay dee kapost kuwa alitaka kujiua .
Kama mjuavyo watu wengi wamekuwa wakijiua tu na pengine wangesaidiwa wasingejiua.
Hili jambo si dogo...
Tujadili; nini chanzo cha mwanadada huyu kutaka kujiua?
Nawasilisha
Check out @JideJaydee’s Tweet:
Mtu anayejiamini hawezi kusema alitaka kujiua tena mtandaoni na si kwa wataalam wa Saikolojia!!Jide ni short tempered ni tatizoJude si mtemi ila hatakagi ujinga...kama ujinga waliofanyiwa wasanii na ruge kwa miaka@
Tatizo mwanamke kujiamini na kujielewa basi kwa wanaume inakuwa "mwiba"..