Nini kinasababisha Lady Jaydee atake kujiua?

Nini kinasababisha Lady Jaydee atake kujiua?

tunaendelea kuhesabu
1. q chief
2. Lady jaydee
2 .Dudubaya .....loading
 
Watu wanaokuwa na mawazo ya kujiua ni wa kuwasaidia...

Mara nyingi huingiwa na dhamira hii mbaya pindi wanapohisi wamepoteza uthamani wao...

Yaani kwao huona kuishi hakuna tena faida...ni aina fulani ya mental disorder
 
Zamani sana tuliwahi ambiwa kuwa ana mtoto mkubwa tu ila yuko sirini! miaka hiyo hana hata umaarufu..akiimba taarabu tanga !
Kama ni kweli basi yupo kwenye 20's za mbali...
Duuu hii sikuwahi kuiskia naipata kwako
 
Huyu dada anamajivuno sana na wala siyo mtu poa kabisa ana kautemi flan hiv kakipuuz puuz. Kwa kifup Mimi simpend na huwa sipend watu wenye majivuno kama huyu manzi

Tatizo lake anapenda wanaume walevi na mashorobaro. Naishia hapo

Hasira za mkizi
 
Dhambi ni mbaya sana na inawatafuna watu mdogo mdogo pasipo wahusika kujua.
Binafsi nampenda sana jide kwani tofauti na wasanii wengine hapa bongo yey ana personality yake nzuri sana.
Kinamfanya ajiue ni relationship!
Why?
Alipokonya mume wa mtu kibabe (Gardner) na hakuishia hapo bali alimpiga huyo mtu.

Madhara yake kakaa kwenye ndoa miaka 10 isiyo na furaha najua G Habash alikua analazimisha na alikua hapo kwa sababu jide ni celebrity na ana mkwanja mrefu so mzee baba akachuku fursa.

Hii kitu ndiyo iliyomchukua mke wa swahiba wangu mcheshi... very painful I feel ila hayo ndio malipo ila MUNGU anatoa nafasi ya kutubu na kuomba masamaha. Pole sana mzee baba what goes up must come down, a lesson learned.
Sijui kwanini watu hawaoni kiama cha haya mambo as I know wa akili kubwa.

Finally pole mama kamwombe radhi msomali failure to that death will hunt you everywhere wala hutakaa uwe na amani maisha yako yote haiajalishi uana mkwanja kiasi gani happiness is another issue. Maneno yangu ni makali ila ukiyafuata yatakutoa kwenye pepo la umauti. Very sad... maumivu ya mwenzio hayo...
 
Hivi Hadi sasa Mtu aliyetoa Ushahidi Mwenyewe Kuwa Alitaka Kujiua bado hajayiwa Nguvuni?

Nawashauri Wema Sepetu na Lady Jide wajaribu kutafuta watoto na Common Man kama mimi.
 
Dhambi ni mbaya sana na inawatafuna watu mdogo mdogo pasipo wahusika kujua.
Binafsi nampenda sana jide kwani tofauti na wasanii wengine hapa bongo yey ana personality yake nzuri sana.
Kinamfanya ajiue ni relationship!
Why?
Alipokonya mume wa mtu kibabe (Gardner) na hakuishia hapo bali alimpiga huyo mtu.

Madhara yake kakaa kwenye ndoa miaka 10 isiyo na furaha najua G Habash alikua analazimisha na alikua hapo kwa sababu jide ni celebrity na ana mkwanja mrefu so mzee baba akachuku fursa.

Hii kitu ndiyo iliyomchukua mke wa swahiba wangu mcheshi... very painful I feel ila hayo ndio malipo ila MUNGU anatoa nafasi ya kutubu na kuomba masamaha. Pole sana mzee baba what goes up must come down, a lesson learned.
Sijui kwanini watu hawaoni kiama cha haya mambo as I know wa akili kubwa.

Finally pole mama kamwombe radhi msomali failure to that death will hunt you everywhere wala hutakaa uwe na amani maisha yako yote haiajalishi uana mkwanja kiasi gani happiness is another issue. Maneno yangu ni makali ila ukiyafuata yatakutoa kwenye pepo la umauti. Very sad... maumivu ya mwenzio hayo...
Karma is a bitch,inawezekana Mnaigeria naye kaota mbawa
 
Wakuu,

Kama mjuavyo Lady Jay dee ni msanii mkongwe hapa nchini Tanzania.

Na amekuwa akifanya vizuri katika muziki huu wa Bongo.

Katika vitu nilivyojifunza kwa mwanadada huyu mkongwe wa muziki ni pamoja na kuumizwa na mapenzi.

Maana mara nyingi amekuwa akiimba nyimbo za mapenzi zenye ujumbe wa kuachwa.

Pia tulishuhudia alipoachana na mumewe aliyumba sana.

Sasa wakuu tuje kwenye mada nimeona huyu msanii Jay dee kapost kuwa alitaka kujiua .

Kama mjuavyo watu wengi wamekuwa wakijiua tu na pengine wangesaidiwa wasingejiua.

Hili jambo si dogo...

Tujadili; nini chanzo cha mwanadada huyu kutaka kujiua?

Nawasilisha

Check out @JideJaydee’s Tweet:
Stress tu hzo
 
Jude si mtemi ila hatakagi ujinga...kama ujinga waliofanyiwa wasanii na ruge kwa miaka@
Tatizo mwanamke kujiamini na kujielewa basi kwa wanaume inakuwa "mwiba"..
Mtu anayejiamini hawezi kusema alitaka kujiua tena mtandaoni na si kwa wataalam wa Saikolojia!!Jide ni short tempered ni tatizo
 
Naona Wengi Wanaandika Komedi Tu Humt Na Cha Ajabu Mtoa Mada Nae Anasapoti Anaacha Kuwauliza Watu Majibu Ya Swali Lake
 
Kujiua atake yeye mwenyewe na ubongo wake halafu sababu za kutaka kujiua tuzijadili sisi,haimake sense mkuu....Hata yeye mwenyewe akipita hapa akaona tunajadili hili atasema "HIIIIIIIIIIIIIIIII"
 
Back
Top Bottom