Donatila
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,772
- 22,598
Wakuu,
Kama mjuavyo Lady Jay dee ni msanii mkongwe hapa nchini Tanzania.
Na amekuwa akifanya vizuri katika muziki huu wa Bongo.
Katika vitu nilivyojifunza kwa mwanadada huyu mkongwe wa muziki ni pamoja na kuumizwa na mapenzi.
Maana mara nyingi amekuwa akiimba nyimbo za mapenzi zenye ujumbe wa kuachwa.
Pia tulishuhudia alipoachana na mumewe aliyumba sana.
Sasa wakuu tuje kwenye mada nimeona huyu msanii Jay dee kapost kuwa alitaka kujiua .
Kama mjuavyo watu wengi wamekuwa wakijiua tu na pengine wangesaidiwa wasingejiua.
Hili jambo si dogo...
Tujadili; nini chanzo cha mwanadada huyu kutaka kujiua?
Nawasilisha
Check out @JideJaydee’s Tweet: