Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,968
- 36,044
Tundu Lisu ilibidi aachiwe tangu November 3 baada ya samia kuapishwa .
Naona umepita mwezi sasa tunaona kimya, kesi haisikilizwi na yeye bado hajaachiwa.
Au je mamlaka husika wanaona nchi bado haijakaa sawa kutokana na hofu ya maandamano au wanahisi atakuwa chachu ya watu kuandamana akiingia uraiani atahamadisha zaidi?