Hakuna jibu moja kwa moja la kujibu kwenye hili jambo,, but naweza kuhoji maswali haya yafuatayo
1. Kama ana watoto wawili je, amewahi kuwa na tatizo la homone imbalance? Au amewahi kuonesha hizo tabia kabla...
1- Hana Hilo tatizo na hajawahi kuwa na hiyo shida
2- Anasema ni kama 5 months now
3- hii namba tatu sidhan kama naweza kupata jibu sahihi haha
4- Me pia nahisi usaliti but why awe na mapenzi kama yote isipokuwa kwenye sex Tu?
Kama no. 1 na 2 ni hapana basi 3 na 4 ni ndio fanyeni utafiti,, usaliti wa sex na upendo muda mwingine vinaweza kuwa tofauti sana,, mwanamke huyo anampenda sana mwanaume but suala la sex ...
Hii comment yako ni kama imenifungua akili flan
It's very possible akawa she is in love Kwa dogo but Kwa upande wa show anapenda ya mtu mwingine Kwa sababu zingine
Kama nimeelewa kitu hapa
Amesema kwa wanawake tu!KATAA NDOA.. NAPITA NAWAACHIA MJADALA
Ni wewe acha kumsingizia dogo lako, narudia ni wwWadada wa jf
Mke wa mdogo wangu anampenda sana dogo, anaplay part zote za wife...
Naona mwamba unataka kuitumia hiyo "loop hole" kumla mke wa mdogo wako.
We jipakulie tu minyama ya shemela acha mbambamba.
Sent using Jamii Forums mobile app