Mademoiselle
JF-Expert Member
- Jul 11, 2022
- 704
- 2,842
Dada yangu alifataga huu ushauri...mtoto ana miaka miwili na nusu saiv
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dada yangu alifataga huu ushauri...mtoto ana miaka miwili na nusu saiv
Kichwa cha habari kingekuwa nini kimesababisha shemeji yangu kupoteza hamu ya mapenzi na mdogo wangu.Kichwa chako cha habari kinaakisi umefanya research kwa watu wengi kitu ambacho hakijafanyikq
ni kwa sababu wanawake wakianza kuchepuka na kukolezwa huanza leta visingizio vya namna ile!Wanaume huwa hatuwezi mambo mengine zaidi ya kuwa anachepuka ?
Huwa zisikubali hizi fikra kuwa kila mwanamke asipotoa unyumba basi muhusika anachapiwa ni zilipendwa sio kila mwanamke ana umalaya wa kutoa tu uchi nje, sababu zipo nyingi wadau wengi wameongea hapo likiwemo la hormones imbalance sometimes mwanamke anapojifungua zile hormones za kupenda tendo hupungua.Hakuna cha hormone wala siujui hisia zimeshuka, dogo anachapiwa
Hoja kama hii ni sahihi kabisa very possibleNdo zina mletea hormone imbalnce, ambayo inaweza shusha sexual desire
Ni kweli, watu waanze kuwaza tofautiWanawake siyo sex toys! Kama kila wakati tunawaona ni vyombo vya kutimiza tamaa zetu za ngono tunapojisikia,kuna wakati wanachoka.
Anyway hata hivyo kama sikosei mwanamke anapoteza taratibu hamu ya ngono akishazaa!
Utafikiri wao ndio walioleta madaKichwa cha habari kimeandikwa na Admin wa jf, nilichoandika Mimi walifuta
Kila mtu ana mtu wa kuomba ushauri pale anapofikia ukomo wa kujishauri.......dogo wako anakosea kutoa siri zao kwako,vipi kwa mfano wakitakana kinyume cha maumbile,ndio waje kwako kusema?
When ignorance meets confidence mixed with dumb ego it becomes very dangerousUkiacha hayo mengine. Mwambie huyo dogo na mkewe, hakuna kitu kinachoitwa hormonal imbalance. It's a bunch of bullshit. Na kama akianza kutumia drugs basi wajiandae kuwa na watoto mafala na wasagaji wasiojua jinsia zao.
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Huyo mwanamke lazima atakuwa mchagaWadada wa jf
Mke wa mdogo wangu anampenda sana dogo, anaplay part zote za wife
Na wamezaa watoto 2
Shida imeakuja miezi michache iliyopita ni kwamba shemeji hataki kufanya sex kabisa
Dogo anasema akimshika tu inakuwa ni ugomvi hataki, anasingizia hana hamu, ana homonyms balance, but dogo anaamini ni visingizio tu hayo mambo sio kweli
Swali langu sasa kwa wadada wenye uzoefu wa hizi code je shida hapo kwa shemeji yangu inaweza kuwa ni nini?
Ni kweli anaumwa au hana feelings na dogo au anacheat au all of above haha