Nini kinasababisha wanawake kupoteza hamu ya mapenzi na wanaume zao?

Au anatumia uzazi wa mpango
 
Acheck kipato tuu!!
Familia imeongezeka...
Huenda wapo kwenye ujenzi, au kutengeneza miradi, mahitaji ya pesa ni mengi kuliko mapato, dada haoni future mbele...
Narudia tena...aangalie kipato chao, kimeongezeka kulingana na mahitaji? Au ni kile kile...
 
Wanawake siyo sex toys! Kama kila wakati tunawaona ni vyombo vya kutimiza tamaa zetu za ngono tunapojisikia,kuna wakati wanachoka.
Anyway hata hivyo kama sikosei mwanamke anapoteza taratibu hamu ya ngono akishazaa!
 
ya ndoa waachie wanandoa wenyewe
 
dogo asifikiri ndoa ni kugegeda tu kila wakati, namshauri aache kumshika kabisaa hata usiku ajifunike tu shuka lake ageukie ukutani ila aendelee kulalanaye kitanda kimoja,aache kabisa kujionyesha anamtaka wakati huo dogo aendelee kutoa mahitaji ya msingi nyumbani, "ndoa inataka akili kubwa na uvumilivu" itafika mda mwanamke atajinyoosha tu mwenyewe mbona atalala bila nguo na kukupapasa, hiyo cku sasa umkunje haswa tena bila kumwambia I love you we ni kumtandika tu kimyakimya
 

Hahaha 🤣 🤣 🤣 I love this

Me nilimshauri aache kabisa kulala ndani akalale seblen
 
Wewe mambo ya shemeji yako na mme wake umeyajuwaje. Hii tu ya kutowa siri za ndani ni sababu moja wapo ya kuondowa ham ya mapenzi.

Sasa me si bro wake
 
Wapime afya, atakuwa ana ugo jwa wa gono kaupata sehemu anaogopa akimuambukiza mwenzie atagundulika.

Pia wapime ugonjwa mkubwa.

Am out
 
Usaliti ndo huwa unatufanya hivyo tunaonesha kukupenda ila hamasa ya ngono inashuka
 
Usikute ww ndo unampigia mdogo wako hahahhahah
 
Usaliti ndo huwa unatufanya hivyo tunaonesha kukupenda ila hamasa ya ngono inashuka

So hamasa ya sex inakuwa Kwa mtu mwingine, ila shida na maitaji yatoke Kwa mtu ambae Hana feeling nae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…