Nini kinasababisha wanawake kupoteza hamu ya mapenzi na wanaume zao?

Kama hawana ugomvi...
1. Acheki kama anatumia uzazi wa mpango wowote, hizi njia zinaharibu sana mustakabali wa afya ya uzazi mwanamke na kama hajajielemisha madhara inakua ngumu zaidi
2. Hormone imbalance inatibika, ashiriki katika tiba ya huyo binti na atapata ukweli kama anaigiza au la
Hatua ya kwanza ya ushiriki aende nae hospitali na daktari amchague dogo
 
Wanawake siyo sex toys! Kama kila wakati tunawaona ni vyombo vya kutimiza tamaa zetu za ngono tunapojisikia,kuna wakati wanachoka.
Anyway hata hivyo kama sikosei mwanamke anapoteza taratibu hamu ya ngono akishazaa!
Anachoka mwaka mzima? Tuwe serious, na good enough kama ni kuchoka utaona response yake unapotaka kuomba gemu lkn ukiskia, usinisumbue nimechoka [emoji16][emoji16]
 
Nimeuliza hii kitu anasema after kuzaa aliweka kijiti
Hii ndo sababu,
Hapo akitoe tu then kwa pamoja watumie condom mpaka mzunguko ukae sawa na calender ieleweke....
Ikishakaa sawa wachague condom danger days, dry baada

App za kwenye simu ni nyingi, unasajili kwa email data zako zinaendelea kuwepo hata ukibadilisha simu, plus kuna option ya mwenza wako kuwa anaona data so mnashirikiana kutrack (binafsi tunatumia "flo" na kiukweli tuko makini sana

Mfano kwa sisi day 1 ya period mpaka day 20 ni mwendo wa condom then day 21 mpaka mzunguko unaofata ni dry tu bila shida (kumbuka mbegu inaweza kukaa up to 5 days kabla ya kuwa useless, better safe than sorry)

Changamoto ni kutumia condom, mkishaishi muda mrefu huku mkitumia dry, transition to condom kidogo inasumbua (especially kwa mwanamke sababu condom inakausha papuchi sio kama nyama kwa nyama) na inahitaji nia ya hali ya juu sana. Over time mindset ikikaa sawa maisha yanaendelea
 

Attachments

  • InShot_20240501_211356064.jpg
    372.6 KB · Views: 2

Ha ha ha jamaa umeongea kitalaam sana
 
Yeah,mbaya zaidi huwa hawaambiwi side effects zake .....
Ila mwanaume kama unampenda mke wako bas tafuta njia nyingine ya kujikinga na mimba,

Ila uzazi wa mpango wowote hauko safe,! Kuna madhara mengi na Hilo ni Moja wapo
 
Au tuwaludie wazee wa zamani kipindi haya mambo hayajawepo walikua wanatumia nini 😁😁

Nilielekezwa njia Moja ya asili ya kuzuia mimba, ila sijawah kuipractice, ila wao wanasema waliitumia,

Na wengine husema wanameza mbegu za mnyonyo and etc
 
Hayo mambo ya wazungu sijui hormonal imbalance, hapo pana mawili tu, aidha dogo alikamatwa aki cheat au mke ana cheat, kwisha kabisa hakuna jingine.
 
Ha ha ha jamaa umeongea kitalaam sana
πŸ˜„ 🀣 πŸ˜‚ πŸ˜† nimeongea kwa experience, unahitaji angalau miezi 6 ili kupata data vizuri, chini ya hapo naona kama ni too chaotic
 
Wazee hawana lolote, wake zao walikua wanazaa mpaka menopause
Watu wanazaa watoto 10 na kuendelea huko.

Njia za asili nje ya calender ni ubatili mtupu, bora kunywa supplements hormone zikae sawa angalau mzunguko uwe predictable

Ukipata data za miezi 6 unatoboa vizuri tu, tabu ni wale ndugu zetu wenye changamoto kama vivimbe n.k
 
Usijaribu...utalia kuliko hao asubuhi na jioni....🍷🍷🍷
 
Usijaribu...utalia kuliko hao asubuhi na jioni....🍷🍷🍷
Imagine taking advice from people who used to have at least a basketball team for kids πŸ˜„ 🀣 πŸ˜‚ πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜„ 🀣 🀣
 
dogo wako anakosea kutoa siri zao kwako,vipi kwa mfano wakitakana kinyume cha maumbile,ndio waje kwako kusema?
 
Yeah ni kweli,njia Bora kuliko zote ni calendar tu ,mtu akiweza kutumia hii basi amefanikiwa
 
Wanaume mmepoteza utundu chumbani, yaani Mtu anavuta tu mkewe halafu anachomeka,hata Mimi nikifanyiwa hivyo sitaki!
 
dogo wako anakosea kutoa siri zao kwako,vipi kwa mfano wakitakana kinyume cha maumbile,ndio waje kwako kusema?

Ukiwa na Jambo ukaspeak out unapata nafuu Sana, hasa kama unasikia watu wanasema nini,
 
Anachepuka huyo!!kuna jamaa anamsugua vizuri so ameamua kuleta visingizio uchwara!
 
Kichwa cha habari kingekuwa nini kimesababisha shemeji yangu kupoteza hamu ya mapenzi na mdogo wangu.Kichwa chako cha habari kinaakisi umefanya research kwa watu wengi kitu ambacho hakijafanyikq
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…