Nini kinasababisha wanawake wengi siku hizi hawana mvuto wa kike, wengi sura ngumu, shapeless wengi vitambi kama wanaume hata miondoko ni kama wanaume

Juzi Niko kwenye daladala,saa 11 asubuh,jamaa Mmoja,akiwa anashuka akamwambia sister Mmoja,"we dada SI ulisema unashuka tegeta?ndio hapa?"mdada akawa anasimama anachungulia chungulia nje,maana ni asubuh sana,jamaa aliposhuka,Sasa abilia wanamshangaa yule dada,baadae dada akasema,yule vipi mbona ananishobokea,anafikiri nimepotea,mie sijapotea,nacheka kama Kuna gari ya postal!
Yule dada mweupe,umbo la kike,lakini swaga zote na uhuni kama dume!!ilinikata stimu vibaya sana.
Siku hz hata wapo wanaume wanakuwa na swaga za kike!
Mtu ananenepa nyonga inakuwa kubwa,juu kidogo!akitembea a Arusha mikono kama shangingi!!!(simaanishi V8,kwa mliozaliwa juzi,namaanisha,shankupe,au lishangazi).
Kwa vijana wa kiume,fuga hata ndevu basi,harafu hata ushikaji wa cm usishike na kuperuzi cm kama demu!!
Huwa nawaona vijana kwenye daladala,Wana chart kama mademu!!
 
Hahah
 
[emoji23][emoji23][emoji23] mzee wangu Sakasaka Mao![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hutaki kabisa kukodoleana macho... ni mambo ya kimalaya kabisa siyo?[emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23] mzee wangu Sakasaka Mao![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hutaki kabisa kukodoleana macho... ni mambo ya kimalaya kabisa siyo?[emoji23][emoji23][emoji23]
Mzee kupiga bao huku umekaziwa macho inashusha hamasa!

Na wanaume tunavyogeukaga wabaya kitandani sasa!

Wanawake wanaona vitimbi sana isee!
 
Hapo kwenye vitambi mi naona ndio hali ni mbaya,maana hadi nikiviona inabidi nivunge kuangalia chini...
 


[emoji1787][emoji1787]

We Jamaa!
 
aisee
wapo sema hela
 
Huu Uzi unawahusu Wanawake wa Kenya haswa, Aisee ukija Kenya utashangaa kuona Wanawake Wana sifa zote alizotaja mleta mada.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
No6 hiyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hawali vizuri na wasiwasi wa Maisha na ukosefu wa utulivu wa Mwili roho na Matendo.

Umalaya na ngono za kila dakika saa then wakitoka hapo hawapati mlo kamili na kufanya mazoezi.

Nimejaribu kuangalia ngono nimeona inawamaliza sa. Wanawake kuliko wanaume unaweza fatilia Sehemu za kimboka ukafanya tafiti ngono bila kula vizuri ni hatari.
 
Sababu ni kuwa sura mbovu kuzaa na sura mbovu hakuna kingne
 
Dah nimecheka sana..na weusi wangu huu ebu niache kupaka red [emoji182] lipstick[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…