Kwa nini mnasema halina?,endapo maziwa yangu yatakuwa saggy kiasi cha kunock off my confidence once nikiwa uchi,huoni kuwa uwezo wangu wa kuperform na baba watoto utashuka...au guys mnapretend yamesimama hata kama yamelala fofofo yanakoroma....lol
......Jitahidi kunyonyesha miezi sita ya mwanzo tu, hata hivyo yale maziwa ya miezi sita ya mwanzo ndio muhimu sana kwa mtoto.
Mie mwenyewe nina mpango wa kunyonyesha miezi sita tu.