Nini kinazuia Mawaziri kupanda SGR kati ya Dar es Salaam - Dodoma?

Nini kinazuia Mawaziri kupanda SGR kati ya Dar es Salaam - Dodoma?

Mawaziri wa Tanganyika mjitafakari kama kweli mna uchungu na nchi hii mbona bado mnafuja Kodi za wananchi? Yaan Dar-Dodoma bado mnaendesha maV8 wakati SGR IPO?
SGR ni kwa ajili ya raia 3rd class wenye kipato duni na uzalendo mwingi sio mawaziri au PS
 
Mawaziri wa Tanganyika mjitafakari kama kweli mna uchungu na nchi hii mbona bado mnafuja Kodi za wananchi? Yaan Dar-Dodoma bado mnaendesha maV8 wakati SGR IPO?
Hakuna mawaziri wa Tanganyika
 
SGR ni nafuu kuliko kivurumusha V8 kilomita 600 kuzindua tamasha la taarabu Dar
 
Walishapanda wakati wa uzinduzi mbele ya Camera, biashara imeisha...
 
Aisee kweli hii kitu ikifanyiwa kazi, matumizi ya serikali yanaweza kupungua kiasi fulani.
 
Mawaziri hawahawa akina mwigulu wanaochamba raia kwamba kama maisha magumu wahamie burundi.
Mawaziri hawahawa wanaoshangilia ujenzi wa vyumba vya madarasa na shule za serikali wakati watoto wao wote wanasomesha shule za binafsi na nje ya Nchi.
Mawaziri hawahawa ambao unakuta wanatoka ofisi moja (waziri na naibu wake)wanaenda kukagua mradi mmoja kisha wote wanarudi ofisi ileile . Ila kila mmoja na gari lake.
Mawaziri hawahawa wakiwa kwenye ziara moja na rais kila mmoja na gari lake wakati wangeweza kushare gari moja hata mawaziri 3 .
Mawaziri wote wa Tanzania hawana uchungu na raslimali za nchu hii ni wanyonyaji wa daraja la kwanza
 
PRIVACY MKUU, HAWA NI VIONGOZI SIO KILA MTU ANAWAKUBALI!!
 
Treni inasimamishwa na ngedere masaa 3 waziri gani atapanda?

Lkn ccm ni kawaida yao kuunda vitu substandard ambavyo wao hawavitumii. Mf. Shule, hospital, n.k
 
Kama hawakubaliki wanamuongoza Nani?
Kumbuka wanapita kwa % Tuseme kiongozi F alimzidi Kiongozi Q kwa kura 500 zaidi....

Sasa wale waliomchagua kiongozi Q lazima waendelee kutoridhishwa na kiongozi F mwisho chuki....

Kuhusu kuongozwa haijalishi ulimchagua kilngozi Q au la! kama amepita kiongozi F atatakiwa kukuongoza tu utake usitake...

Hivyo kiongozi F lazima awe makini kwa wale wasiomkubali maana chuki ni hisia mbaya sana....
 
Mawaziri wenyewe wanajijua hawana cha kujivunia kwa wanayofanya kwa wananchi mpaka wanatoroka Bungeni.
 
Kumbuka wanapita kwa % Tuseme kiongozi F alimzidi Kiongozi Q kwa kura 500 zaidi....

Sasa wale waliomchagua kiongozi Q lazima waendelee kutoridhishwa na kiongozi F mwisho chuki....

Kuhusu kuongozwa haijalishi ulimchagua kilngozi Q au la! kama amepita kiongozi F atatakiwa kukuongoza tu utake usitake...

Hivyo kiongozi F lazima awe makini kwa wale wasiomkubali maana chuki ni hisia mbaya sana....
Siku akifa ndo wanadai asiwekewe pamba puani maana ana shida ya kupumua?
 
Back
Top Bottom