Mackanackyyy
JF-Expert Member
- Mar 26, 2019
- 2,338
- 5,271
Nchi Ingekuwa imepiga hatua kubwa sana ya Maendeleo, Nyerere alikuwa na akili flan za kimagufulimagufuli hivi japo nafuu yake alikuwa ni intellectual...siyo kama hiki kiazi cha KihutuWadau wa JF habari zenu.
Leo nimewaza hivi ikiwa Mwl Nyerere angestastaafu Urais mwaka 1971 kwa kufuata mihula miwili na baadae kufuatiwa na Oscar Kambona ambaye naye angestastaafu mwaka 1981, nchi hii ingekuwaje? Mfano kiuchumi, kisiasa, kijamii, kitamaduni, kidiplomasia nk.
Natanguliza shukurani kwa maoni yenye tija ya kimtizamo ikizingatiwa ni jambo nadharia ambalo halikuwahi kutokea.
Kivipi? Kambona abgmzuia Idd Amin kumpindua Obote 1971?Vita ya Kagera isingekuwepo
Ukitoa huyo hawa wengine ni bure kabisa! Angalau mzee wa watu JK tunaweza kumsamehe kwasababu alijitahidi mambo mawili au matatu yahusuyo demokrasia na utawala boraMkapa (RIP) alikua kichwa lakini ubinafsi na uroho wa mali vilimharibia sifa.
Unamaanisha Kambona angebaki na TANU huku Zanzibar ikibaki na ASP yake? Vita vya kagera angeepukaje?Tungeendelea sana maana tusingepigana Vita vya kagera pia ccm isingekuwapo na viwanja vya mpira vingemilikiwa na municipal q
Hili ni tatizo la wanasiasa wengi nchi za dunia ya tatuMkapa (RIP) alikua kichwa lakini ubinafsi na uroho wa mali vilimharibia sifa.
Magufuli asingekua rais...hata ubunge angeuskia kwenye bomba. Vile vichwa havikupenda watu mbumbumbu...walikua ni intellectuals tupu. Tulianza kukosea kwa Mzee Ruksa.
Kwa faida ya wale ambao hawakuwepo, hebu tukumbushe viwanda alivyojenga.Sera za Nyerere wala hazikuwa mbaya. Wabaya ni sisi wananchi tuliokuwa wasimamizi wa yote waliyoanzishwa. Nyerere alijitahidi sana sana Tanzania ipige hatua. Alianzisha viwanda vingi. Ila usimamizi ulikuwa mbovu. Alitujengea umoja wa kitaifa. Nadiriki kusema pengine tungekuwa na rais mwingine badala ya Nyerere basi nchi yetu isingekuwa tulivu kama ilivyo. Imagine angekuwa na Magufuli kipindi hicho. Tungekuwa sawa na Kongo ya Mobutu sasa hivi.
Pohamba una vitu sana kichwani ila tatizo lako una macho manne. Kuna mmoja hapo juu kasema Nyerere alijenga viwanda, nikamuomba atukumbushe viwanda alivyojenga Nyerere.Unajua Nchi hii Mwinyi kaipokea haina hata fedha za kulipia Meli ya mafuta iliyotia nanga Bandarini, Mkapa akiwa Waziri wa mambo ya nje, Msuya akiwa wa fedha na Warioba akiwa PM wamewahi mara kadhaa kuelezea hali ilivyokuwa wakati Mwinyi anaingia
Tatizo lenu ni ushamba wa kupima uwezo wa Rais kwa kusikiliza uwezo wake wa kujisifu na kuji mwambafai yeye na Wapambe wake
i.e Mwinyi Ndio Rais pekee wa Nchi hii ambae hata mara moja huwezi kumsikia akijisu alifanya hivi na vile
Tuliza akili usome reforms za Msingi alizofanya Mwinyi kuitoa Nchi kwenye Shimo la Ujamaa wa Nyerere ndio ujue
Nakupa machache tu kwa kuanzia
1) Reform ya kuanzisha TRA ilianzia kwa Mwinyi
2) Vision 2025 ilianzia kwa Mwinyi 1994 ( Kasome Kitabu cha Mzee Mkapa kaeleza kwa kifupi sana)
3) kufuta Azimio la Arusha lililoamini Umaskini ndio uadilifu
4) Uanzishwaji wa Soko huria na kuhusisha Sector Binafsi kwny shughuli za kiuchumi
Hakuna Rais aliefanya Uamuzi mgumu kwny Nchi hii kama Mwinyi
Angekuwa Muoga wa matusi ya Nyerere angeacha na kizazi chenu kitafunwe na Ujamaa kama kizazi chetu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nchi Ingekuwa imepiga hatua kubwa sana ya Maendeleo, Nyerere alikuwa na akili flan za kimagufulimagufuli hivi japo nafuu yake alikuwa ni intellectual...siyo kama hiki kiazi cha Kihutu
Tulifeli kwa sababu msimamizi mkuu alishindwa kazi yake ya kusimamia. Enzi ya nyerere watu wakikosea au wakihujumu badala ya kuadhibiwa alikua anawabsdilishia ofisi/idara. Niliwahi kusikia tanzania tulinunua ndege ambayo baadae ilionekana kuwa mbovu. Wakati huo waziri wa mawasiliano na uchukuzi alikua Augustine Mwingira, alisimamia mchakato wa manunuzi ikiwa pamoja na kwenda ulaya kushughulikia ununuzi huo. Walicholeta kikawa uozo, na nyerere hakumwajibisha Mwingira na wenzake. Huo ni mfano mmoja tuu kuonyesha nyerere alivyofeli na kutufelisha. Unaposema tungekua na rais mwingine nchi haingekua na utulivu unajidharau mwenyewe na kutudharau Watanzania kuwa nyerere asigezaliwa (au angefariki angali mtoto) hatungeweza kujisimamia. Hivi nchi zote zenye utulivu na ustawi ni nyerere aliwasimamia? Jaribu kufiri vingine kuwa nyerere ndiye aliasisi kufeli kwetu, hata yeye mwenewe alikiri. Mfano katiba hii ya ovyo tuliyonayo ilitungwa yeye akiwa kiongozi mkuu. Miaka ya 1980-1985 alipoona siasa zake zinafeli, akaamua kukaa kando kidogo. (Kumbuka aliendelea kuwa na ushawishi hata kutuamulia nani anafaa kuwa kiongozi na nani hafai). Kwa sababu ya mfumo alioucha kuendelea kumtukuza yeye, kukosa vyombo huru vya kumchambua uongozi wake- mazuri yasewe, mapungufu na mabaya yasemwe,tumebakia tuu kumwona kama alikua masihi.Sera za Nyerere wala hazikuwa mbaya. Wabaya ni sisi wananchi tuliokuwa wasimamizi wa yote waliyoanzishwa. Nyerere alijitahidi sana sana Tanzania ipige hatua. Alianzisha viwanda vingi. Ila usimamizi ulikuwa mbovu. Alitujengea umoja wa kitaifa. Nadiriki kusema pengine tungekuwa na rais mwingine badala ya Nyerere basi nchi yetu isingekuwa tulivu kama ilivyo. Imagine angekuwa na Magufuli kipindi hicho. Tungekuwa sawa na Kongo ya Mobutu sasa hivi.
Dunia ya leo ili mtu kujua tukio fulani siyo lazima awepo na kushuhudia. Watu wana uwezo wa kujua hata mambo yaliyotokea miaka mamilioni iliyopita na hawakuwepo. Hapa kuna thread nyingi zinazoelezea. Moja kati ya hizo ni hii:Kwa faida ya wale ambao hawakuwepo, hebu tukumbushe viwanda alivyojenga.
Endapo Nyerere angestaafu1971 au 72 na Kambona angekuwa Raisi wetu Tanzania tungekuwa mbali Sana kiuchumi. Kambona kipindi kile alikuwa kama Seretse Khama ( Babs wa taifa wa Botswana ambaye alifanikiwa kuijengea Botswana misingi imara sana ya uchumi.Wadau wa JF habari zenu.
Leo nimewaza hivi ikiwa Mwl Nyerere angestastaafu Urais mwaka 1971 kwa kufuata mihula miwili na baadae kufuatiwa na Oscar Kambona ambaye naye angestastaafu mwaka 1981, nchi hii ingekuwaje? Mfano kiuchumi, kisiasa, kijamii, kitamaduni, kidiplomasia nk.
Natanguliza shukurani kwa maoni yenye tija ya kimtizamo ikizingatiwa ni jambo nadharia ambalo halikuwahi kutokea.
Raisi Mwinyi alikuwa muungwana Sana. Na alifanya kazi kubwa Sana. Mzee mwinyi ndo kasababisha hata tunatoa mawazo yetu hapa. Mwinyi kaapokea nchi tv majumbani zilkua zinahesabika, maduka kila kitu, Yani Mwinyi ni Mwinyi . Na KWA maoni yangu KILA raisi amefanya Mambo mazuri tu KWA wakati wake. KILA awamu ilikua Ina mazuri yakeUnajua Nchi hii Mwinyi kaipokea haina hata fedha za kulipia Meli ya mafuta iliyotia nanga Bandarini, Mkapa akiwa Waziri wa mambo ya nje, Msuya akiwa wa fedha na Warioba akiwa PM wamewahi mara kadhaa kuelezea hali ilivyokuwa wakati Mwinyi anaingia
Kuna wenzenu walikaririshwa eti aliua Uchumi, aliua uchumi gani wakati kakuta huwezi kupata bidhaa yoyote bila ya kibali cha Mjumbe wa nyumba 10, Mashirika na mataifa makubwa yote yametususa, ndani uzalishaji na viwanda vimefungwa kwa kukosa malighafi na masoko
Tatizo lenu ni ushamba wa kupima uwezo wa Rais kwa kusikiliza uwezo wake wa kujisifu na kuji mwambafai yeye na Wapambe wake au kufoka foka hadharan kujidai ndio uchapakazi na uzalendo
i.e Mwinyi Ndio Rais pekee wa Nchi hii ambae hata mara moja huwezi kumsikia akijisu alifanya hivi na vile
Tuliza akili usome reforms za Msingi alizofanya Mwinyi kuitoa Nchi kwenye Shimo la Ujamaa wa Nyerere ndio ujue
Nakupa machache tu kwa kuanzia
1) Reform ya kuanzisha TRA ilianzia kwa Mwinyi
2) Vision 2025 ilianzia kwa Mwinyi 1994 ( Kasome Kitabu cha Mzee Mkapa kaeleza kwa kifupi sana)
3) kufuta Azimio la Arusha lililoamini Umaskini ndio uadilifu
4) Uanzishwaji wa Soko huria na kuhusisha Sector Binafsi kwny shughuli za kiuchumi
5) kupunguza Wafanyakazi Serikalini ili wabaki namba inayoendana na uhalisia na kuwezesha Serikali kujiendesha na kuweza kuwalipa
6) Demokrasia imeanza kuota na kumea wakati wa huyu Muungwana kiasi cha hata watu kukosoa Serikali wakiwa Mita 5 kutoka geti la 'usalama wa Taifa'
7) Kuanzisha Mfumo wa Vyama vingi ( kuna baadhi wanajifai eti Nyerere ndio aliamuru vyama vingi viruhusiwe, kama alikuwa na nguvu ya kushinikiza vyama vingi ilikuaje akose nguvu ya kutetea kutofutwa azimio lake la Arusha akabaki analalama pembeni)
Hakuna Rais aliefanya Uamuzi mgumu kwny Nchi hii kama Mwinyi
Angekuwa Muoga wa matusi ya Nyerere angeacha na kizazi chenu kitafunwe na Ujamaa kama kizazi chetu
Nchi inauzwa vipi sasaNchi ingekuwa ishauzwa kama anavyo idalalia Lissu!
Tungekuwa mbali Mara 1000 ya tulipo sasa,washindani wetu wangekuwa South Afrika na Misri.hawa Kenya wangetusikia kwenye vipaza sauti.
Sera za Nyerere zimesababisha Tanzaniakuwa nyuma kwa hatua 10000 kuliko ambapo tulitakiwa kuwa.
nyerere kaharibu nchi