Sio kweli, mambo yaliharibika kabla ya vita ya Kagera. Baada ya nationalization, ni kweli miaka michache iliyofuatia output iliongezeka sana, kumbe ilikuwa ni just "counterfactual" kwani muda mfupi baadaye inefficiency ilianza. Mambo yalianza kwenda kombo mwanzoni miaka ya 70. Kama mambo hayakuharibika katika kipindi chake, jiulize economic recovery program ilianza lini? Na kwanini iwe "recovery"? Ilikuwaje nchi ikose hata sabuni. Labda ungetueleza kwa namna gani vita ya mwaka mmoja ikafanye uzalishaji wa viwandani ufe kabisa.
Nyerere was so good or call him best at its gudos, lkn kuna mengi kwenye uchumi na demokrasia alichemka.