Nini kipo nyuma ya chips?

Nini kipo nyuma ya chips?

Huwa najiuliza mara nyingi sana kwa nini chips zinasemekana kuwa na madhara.

Chips ni viazi ulaya vilivyokaangwa kwenye mafuta ya kupika.

Lakini ukipika viazi hivyo kwenye mboga au chakula kingine kama wali/pilau hamna mtu atakuambia vina madhara.

Hayo mafuta yanayotumika kukaanga ukiyatumia kupikia au kukaanga chakula kingine hamna mtu anayasema hayo mafuta.

Lakini tatizo linakuja hayo mafuta yakikaanga viazi vilivyokatwa vipande (chips) ndo vinakuwa na madhara mara nguvu za kiume, mara mambo kibao.

Watu wenye uelewa na hili tafadhali nielewesheni hapa
Changamoto ya kitu chochote ni concentration. Tofauti ya bia na gin ni concentration. Chumvu huleta madhara kwa concentration.
 
Nawashangaa sana hawa matapeli wa elimu lishe wanakwambia usile vyakula vya wanga ,mafuta na usitumie sukari.

Wakati mwili unahitaji upate balance diet kutoka makundi yote ya chakula...Mwili ukikosa wanga hautopata nguvu ya kufanya kazi.
 
Asee tufundishe unachohisi ni sahihi nkuu
 
Huwa najiuliza mara nyingi sana kwa nini chips zinasemekana kuwa na madhara.

Chips ni viazi ulaya vilivyokaangwa kwenye mafuta ya kupika.

Lakini ukipika viazi hivyo kwenye mboga au chakula kingine kama wali/pilau hamna mtu atakuambia vina madhara.

Hayo mafuta yanayotumika kukaanga ukiyatumia kupikia au kukaanga chakula kingine hamna mtu anayasema hayo mafuta.

Lakini tatizo linakuja hayo mafuta yakikaanga viazi vilivyokatwa vipande (chips) ndo vinakuwa na madhara mara nguvu za kiume, mara mambo kibao.

Watu wenye uelewa na hili tafadhali nielewesheni hapa
Ni uongo tuu hakuna mwenye evidence ya hayo madhara
 
Muulize janabi
 
Kunyonya mafuta ambayo mlaji anakula anapokula chips, hili ndilo tatizo. Siku hizi kuna air fryer ambazo hutumia mafuta kidogo sana au hazitumii kabisa.
 
Huwa najiuliza mara nyingi sana kwa nini chips zinasemekana kuwa na madhara.

Chips ni viazi ulaya vilivyokaangwa kwenye mafuta ya kupika.

Lakini ukipika viazi hivyo kwenye mboga au chakula kingine kama wali/pilau hamna mtu atakuambia vina madhara.

Hayo mafuta yanayotumika kukaanga ukiyatumia kupikia au kukaanga chakula kingine hamna mtu anayasema hayo mafuta.

Lakini tatizo linakuja hayo mafuta yakikaanga viazi vilivyokatwa vipande (chips) ndo vinakuwa na madhara mara nguvu za kiume, mara mambo kibao.

Watu wenye uelewa na hili tafadhali nielewesheni hapa
Vizazi ulaya havina tofauti na keki.
 
Hazina madhara kama chakula, miandaaji ndio mwenye kuleta madhara kama hatofuata kanuni.

Hata kuku broiler hawana madhara, inategemea na mfugaji tu.

Mambo mengi ni imani potofu.
 
Huwa najiuliza mara nyingi sana kwa nini chips zinasemekana kuwa na madhara.

Chips ni viazi ulaya vilivyokaangwa kwenye mafuta ya kupika.

Lakini ukipika viazi hivyo kwenye mboga au chakula kingine kama wali/pilau hamna mtu atakuambia vina madhara.

Hayo mafuta yanayotumika kukaanga ukiyatumia kupikia au kukaanga chakula kingine hamna mtu anayasema hayo mafuta.

Lakini tatizo linakuja hayo mafuta yakikaanga viazi vilivyokatwa vipande (chips) ndo vinakuwa na madhara mara nguvu za kiume, mara mambo kibao.

Watu wenye uelewa na hili tafadhali nielewesheni hapa
Viazi na mafuta vyote utakuta havidhuru sana, shida ni hicho unachokula nacho.
Je ni maji?
Au soda?
Au energy?
Iv huwa kuna chips na bia kweli?
 
Kwa hiyo,hili nalo lahitaji ufaham wa hali ya juu au elimu ya chuo kikuu?!

Au wanapoongelea madhara,unahisi nini! Kama kufa,kupo tu. Hakukwepeki.

Ua kuna mambo kadhaa ndo huongelewa:
- Maandalizi yake: kuna sehemu za kawaida sana,ambapo ukiangalia,kuanzia kumenywa,sahani,kachumbali, ni uchafu tu. Na walaji,waliozoea maisha ya shida,hawaoni taabu. Utajua kulingana na bei.
-Mafuta yanayopikiwa: chips kama chips, ndio kupikwa,hunyonya mafuta mengi. Ila,kama tatizo lingekuwa mafuta,wangekufa wengi. Kikubwa mtambue kwamba ikiwa hivo,basi hata walaji wa chapati,ni marehemu.
Kuna mafuta yanarudiwa,hadi rangi inabadilika. Wengine wanaenda mbali na kudai kwamba,kuna mafuta ya transfoma hutumiwa,na sifa kubwa ikiwa hayaishi haraka kama haya ya kawaida.
-La tatu na la mwisho, ni chakula hiki kina virutubisho gani kuujenga mwili!? Kimeongelea hiki tu,ila mfano mwingine ni wali. Unaambiwa hauna manufaa wala madhala mwilini. Ni kujaza tumbo tu.
 
Back
Top Bottom