Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Kama unaweza kumaliza viazi 10 vikiwa vizima basi unaweza kumaliza viazi 20 vikiwa kama chips.N ww pekee yako ndio huwez kumaliza viazi vitano au? Na sababu n ipo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama unaweza kumaliza viazi 10 vikiwa vizima basi unaweza kumaliza viazi 20 vikiwa kama chips.N ww pekee yako ndio huwez kumaliza viazi vitano au? Na sababu n ipo?
Changamoto ya kitu chochote ni concentration. Tofauti ya bia na gin ni concentration. Chumvu huleta madhara kwa concentration.Huwa najiuliza mara nyingi sana kwa nini chips zinasemekana kuwa na madhara.
Chips ni viazi ulaya vilivyokaangwa kwenye mafuta ya kupika.
Lakini ukipika viazi hivyo kwenye mboga au chakula kingine kama wali/pilau hamna mtu atakuambia vina madhara.
Hayo mafuta yanayotumika kukaanga ukiyatumia kupikia au kukaanga chakula kingine hamna mtu anayasema hayo mafuta.
Lakini tatizo linakuja hayo mafuta yakikaanga viazi vilivyokatwa vipande (chips) ndo vinakuwa na madhara mara nguvu za kiume, mara mambo kibao.
Watu wenye uelewa na hili tafadhali nielewesheni hapa
Sio kweli, binadamu anaweza kuishi na kuwa na afya nzuri kabisa kwa kula nyama, mboga, karanga na matunda tu.Mwili ukikosa wanga hautopata nguvu ya kufanya kazi.
Nahisi umeongelea chumvi Kama sijakoseaChangamoto ya kitu chochote no concentration. Tofauti ya bia na gin ni concentrate. Chumvu huleta mad hara kwa concentration.
Asee tufundishe unachohisi ni sahihi nkuuNawashangaa sana hawa matapeli wa elimu lishe wanakwambia usile vyakula vya wanga ,mafuta na usitumie sukari.
Wakati mwili unahitaji upate balance diet kutoka makundi yote ya chakula...Mwili ukikosa wanga hautopata nguvu ya kufanya kazi.
Imeandikwa mtu hataishi kwa mkate tu.Sio kweli, binadamu anaweza kuishi na kuwa na afya nzuri kabisa kwa kula nyama, mboga, karanga na matunda tu.
Asee tufundishe unachohisi ni sahihi nkuu
Ni uongo tuu hakuna mwenye evidence ya hayo madharaHuwa najiuliza mara nyingi sana kwa nini chips zinasemekana kuwa na madhara.
Chips ni viazi ulaya vilivyokaangwa kwenye mafuta ya kupika.
Lakini ukipika viazi hivyo kwenye mboga au chakula kingine kama wali/pilau hamna mtu atakuambia vina madhara.
Hayo mafuta yanayotumika kukaanga ukiyatumia kupikia au kukaanga chakula kingine hamna mtu anayasema hayo mafuta.
Lakini tatizo linakuja hayo mafuta yakikaanga viazi vilivyokatwa vipande (chips) ndo vinakuwa na madhara mara nguvu za kiume, mara mambo kibao.
Watu wenye uelewa na hili tafadhali nielewesheni hapa
Muulize janabiHuwa najiuliza mara nyingi sana kwa nini chips zinasemekana kuwa na madhara.
Chips ni viazi ulaya vilivyokaangwa kwenye mafuta ya kupika.
Lakini ukipika viazi hivyo kwenye mboga au chakula kingine kama wali/pilau hamna mtu atakuambia vina madhara.
Hayo mafuta yanayotumika kukaanga ukiyatumia kupikia au kukaanga chakula kingine hamna mtu anayasema hayo mafuta.
Lakini tatizo linakuja hayo mafuta yakikaanga viazi vilivyokatwa vipande (chips) ndo vinakuwa na madhara mara nguvu za kiume, mara mambo kibao.
Watu wenye uelewa na hili tafadhali nielewesheni hapa
Kunyonya mafuta ambayo mlaji anakula anapokula chips, hili ndilo tatizo. Siku hizi kuna air fryer ambazo hutumia mafuta kidogo sana au hazitumii kabisa.Huwa najiuliza mara nyingi sana kwa nini chips zinasemekana kuwa na madhara.
Chips ni viazi ulaya vilivyokaangwa kwenye mafuta ya kupika.
Lakini ukipika viazi hivyo kwenye mboga au chakula kingine kama wali/pilau hamna mtu atakuambia vina madhara.
Hayo mafuta yanayotumika kukaanga ukiyatumia kupikia au kukaanga chakula kingine hamna mtu anayasema hayo mafuta.
Lakini tatizo linakuja hayo mafuta yakikaanga viazi vilivyokatwa vipande (chips) ndo vinakuwa na madhara mara nguvu za kiume, mara mambo kibao.
Watu wenye uelewa na hili tafadhali nielewesheni hapa
Vizazi ulaya havina tofauti na keki.Huwa najiuliza mara nyingi sana kwa nini chips zinasemekana kuwa na madhara.
Chips ni viazi ulaya vilivyokaangwa kwenye mafuta ya kupika.
Lakini ukipika viazi hivyo kwenye mboga au chakula kingine kama wali/pilau hamna mtu atakuambia vina madhara.
Hayo mafuta yanayotumika kukaanga ukiyatumia kupikia au kukaanga chakula kingine hamna mtu anayasema hayo mafuta.
Lakini tatizo linakuja hayo mafuta yakikaanga viazi vilivyokatwa vipande (chips) ndo vinakuwa na madhara mara nguvu za kiume, mara mambo kibao.
Watu wenye uelewa na hili tafadhali nielewesheni hapa
Hazina madhara kama chakula, miandaaji ndio mwenye kuleta madhara kama hatofuata kanuni.Huwa najiuliza mara nyingi sana kwa nini chips zinasemekana kuwa na madhara.
Chips ni viazi ulaya vilivyokaangwa kwenye mafuta ya kupika.
Lakini ukipika viazi hivyo kwenye mboga au chakula kingine kama wali/pilau hamna mtu atakuambia vina madhara.
Hayo mafuta yanayotumika kukaanga ukiyatumia kupikia au kukaanga chakula kingine hamna mtu anayasema hayo mafuta.
Lakini tatizo linakuja hayo mafuta yakikaanga viazi vilivyokatwa vipande (chips) ndo vinakuwa na madhara mara nguvu za kiume, mara mambo kibao.
Watu wenye uelewa na hili tafadhali nielewesheni hapa
Viazi na mafuta vyote utakuta havidhuru sana, shida ni hicho unachokula nacho.Huwa najiuliza mara nyingi sana kwa nini chips zinasemekana kuwa na madhara.
Chips ni viazi ulaya vilivyokaangwa kwenye mafuta ya kupika.
Lakini ukipika viazi hivyo kwenye mboga au chakula kingine kama wali/pilau hamna mtu atakuambia vina madhara.
Hayo mafuta yanayotumika kukaanga ukiyatumia kupikia au kukaanga chakula kingine hamna mtu anayasema hayo mafuta.
Lakini tatizo linakuja hayo mafuta yakikaanga viazi vilivyokatwa vipande (chips) ndo vinakuwa na madhara mara nguvu za kiume, mara mambo kibao.
Watu wenye uelewa na hili tafadhali nielewesheni hapa
Huenda ikawa kweli eeViazi na mafuta vyote utakuta havidhuru sana, shida ni hicho unachokula nacho.
Je ni maji?
Au soda?
Au energy?
Iv huwa kuna chips na bia kweli?
Sijawah kumskia akiongelea chipsMuulize janabi
Kwani mihogo hainyonyi mafutaKunyonya mafuta ambayo mlaji anakula anapokula chips, hili ndilo tatizo. Siku hizi kuna air fryer ambazo hutumia mafuta kidogo sana au hazitumii kabisa.
KivpVizazi ulaya havina tofauti na keki.