white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,566
- 13,770
Waafrika tuna shida sana, siku moja nilikuwa DRC, nako wanatushangaa watanzania kuwa hatupendi kuzaa eti, tunawaiga wazungu!! Kule kwao kuwa na watoto watatu, bado hujazaa!!! Kuonekana kidume uanzie watoto nane!!!Mambo yao waachiwe wenyewe hakuna sheria inayosema mwanamke akifikisha 40+ awe na watoto.
Duh🏃🏃Watu wa vijijini mnajua uanaume ni ngono tu. Ni rahisi kwenu kua na akili hizo maana bajeti ya familia yako ya watoto nane kwa mwaka ni ndoo kubwa ya mahindi na kisado cha maharage.
Watoto hupeleki shule unasubiri kumzeesha kwa kumuozesha kwa kigagula chochote hapo kijijini.
Ya kusaga ni blender mkuu! Rekebisha spelling.kazi ya brender ni kusaga...Jiogeze hadi hapo sasa. Nimesaidia kutafsiri tu lakini sio msimamo wangu.
ukisikiliza hiyo interview wao wamesema hawapo comfortable na hiyo haliMambo yao waachiwe wenyewe hakuna sheria inayosema mwanamke akifikisha 40+ awe na watoto.
wao wamesema hawapo comfortable na hali hiyoKwani shida ipo wapi? Hayo ni maamuzi ya mtu binafsi, kwani kuna sheria inayolazimisha kuwa ni lazima ukifikisha miaka 40 uwe na mtoto/watoto?
😂😂😂😂😂Mimi nimekichafua sana hapo
Huyo hapo juu ni mvulana wa kiume au wa kike?
Tutake radhi...Dar hakuna wanaume wakitokea atapata bwana. Wanaume wa Dar wanakimbia panya road.
Yupi.????kuna mmoja hapo ni Brender na Mwingine Mayai yake amekulia chips yote na amewai enda South Africa,France kupandikizwa mimba zote zinatoka[emoji24]
mwanamke huyoHuyo hapo juu ni mvulana wa kiume au wa kike?
Jidee ana matatizo ya uzazi but salama sijui tatizo ila udumedume naona madume yanaona dume mwenzao ila ana matiti mazuri kinoma na hiyo ni silaha tosha sema hajui kuyatumiaNimeona kwenye interview ya Salama na Jay Dee Salama na Jay Dee wote wamekiri kuwa hawana watoto. Najua hawa wote wameshafika 40+. wanaume wa Darisalama mnafeli wapi??
Uzi tayari.
Mfyuuuuhaya tumeuona mchango wako kibonge
Hayo niliyoyaandika au?Haya ndio yanafanya bangi kuendelea kupigwa marufuku bongo!
Nilibahatika kumuona Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wakati akiwa kwenye Kampeni za uchaguzi huu uliopita, akisikitika sana baada ya kufika mahali (sipakumbuki ni wapi), ambapo Serikali imejenga kituo kipya cha afya, halafu akakuta hakuna watoto wanaofyatuliwa kwenye kituo hicho. Alisikitika sana kukuta hakuna watoto wanaozalishwa kwenye kituo hicho. JPM mwenyewe alkishatoa ruhusa ya kufyatua siku nyingi!Nimeona kwenye interview ya Salama na Jay Dee Salama na Jay Dee wote wamekiri kuwa hawana watoto. Najua hawa wote wameshafika 40+. wanaume wa Darisalama mnafeli wapi??
Uzi tayari.
Duh.Waafrika tuna shida sana, siku moja nilikuwa DRC, nako wanatushangaa watanzania kuwa hatupendi kuzaa eti, tunawaiga wazungu!! Kule kwao kuwa na watoto watatu, bado hujazaa!!! Kuonekana kidume uanzie watoto nane!!!
Labda ampate bwana wa mabwana 😁yee mwenyewe bwana sasa awe na bwana wa nini