Nini Kipo Nyuma ya Lady Jay Dee na Salama Jabir?

Nimeona kwenye interview ya Salama na Jay Dee Salama na Jay Dee wote wamekiri kuwa hawana watoto. Najua hawa wote wameshafika 40+. wanaume wa Darisalama mnafeli wapi??

Uzi tayari.
Huyo jd kaja dar kashazeeka halafu unasema wanaume wa dar, kwanini hamkumjaza hukohuko bush kwenu?
 
Hahahaha πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Huyo jd kaja dar kashazeeka halafu unasema wanaume wa dar, kwanini hamkumjaza hukohuko bush kwenu?
Jide kaja mdogo dar,shule ya msingi alimalizia hapa dar akafaulu zanaki then a level kasoma shaban robert
 
Huyu salaama si alikua anagegedwa na yele msanii ngosha wa mwanza na huyu binti machoz alikua kaolewa na captain labda hawana mayai tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…