Nini kipo nyuma ya ukuaji na ongezeko la watu wasiokuwa na dini?

Sasa ndugu yangu Mimi naumwa badala ya kunishauri niende hospital unaniambie nikanunue maji ya upako nitapona, hv unategemea nini nikija shtukia hiyo dini unaweza kunishawishi tena kirahisi kuhusu dini
Lakini mwenye kutoa maji ya upako akiugua anaenda hospitali.
 
Oh! Kumbe

Dini yangu ni ipi katika jina moja maana naamini katika Mungu lakini sifahamu dini yangu? 🤔
Huwezi kuamini Mungu wakati huna dini. Wewe kama siyo Mwislamu wala Mkristu, basi ni mpagani. Upagani nao ni dini. Utakuwa wewe ni mpagani anayeamini kuwepo kwa Mungu, maana wapo watu mamilioni wanamwamini Mungu na wakati huohuo wana imani za kiasilia. Asikudanganye mtu kuwa hizo imani hazikai pamoja! Zinakaa tu! Anyakuam,bia kuwa hizo imani hazikai pamoja mwambie mbona sayansi na imani kwa Mungu ni marafiki. Mamilioni ya wanyasayansi inayosema if you can't touch it, it does not exist. If you can't prove it, it does not exist. Lakini wakati huo huo you cannot touch God, you cannot prove the existence of God but you say God exist... very unscientific.
 
Dini ni mfumo wa maisha,usipozini,usipoua,usipokula ribs,usipodhilumu,usipoabudu mungu mwingine zaidi ya Allah,ukiamini siku ya malipo,hapo unakua umeishi kiislam
Hayo yooote uliyotaja bila nguzo/msingi wa IMANI hayapo...tuna AMINI Kwanza ndio tunatenda....bila wewe kuamini uwepo wa MUNGU ungejua ya kuwa kuzini ni dhambi???
 
Safi sana mkuu... kuna uwezekano hizi dini zinauhusiano na Mungu (yaani zinajibabatiza kwa) ila Mungu mwenyewe hana uhusiano na hizi dini(kwa maana kwamba hakuamrisha iundwe dini ila watu tu wenyewe waliamua kufanya hivyo).
Kabisaaaa chief.....Una fikara pevu sana na ni watu wachache Sana wenye fikra na upeo huo.
 
Sidhani wewe ni kato;iki. Hakuna mahali ambapo wakatoliki wanaambiwa waabudu sanamu. Zile picha siyo Mungu wala Yesu wala Bikira Maria. Ile ni mifrano na mfano ni "representation of reality but not reality itself".
 
Hayo yooote uliyotaja bila nguzo/msingi wa IMANI hayapo...tuna AMINI Kwanza ndio tunatenda....bila wewe kuamini uwepo wa MUNGU ungejua ya kuwa kuzini ni dhambi???
Dhambi ni neno linatumika katika dini zote. Neno hilo ni sawa na neno kosa. Huhitaji dini ya Kiislamu au Kikristu kujuwa kuwa kuzini ni kosa. Wale wote mnaowaita wapagani wanajuwa na kukubali kuwa zile amri kuanzia ya nne hadi ya kumi pia ziko kwenye imani zao. Tofauti yao na ninyi ni nani wa kuabudiwa. Wakati wewe unaenda Msikitini au Kanisani kumuomba Mungu wako wao wanazo sehemu zao za mitambiko. Kusali au Kuswali ni aina fulani ya tambiko. Unaweza kuliita tambiko la Kiklristu au tambiko la Kiislamu...those are just words but acts singify being in the process of doing what you believeagain what you believe is a requirement for being a believer!
 
Waarabu inaonekana wanasamini Sana mbunye, wakaona ili kuwateka vijana wawawekee hii kitu
 
Miaka iliyopita tulikuwa tunasikia ulaya vijana wengi hawaendi makanisani..saiv naona hiyo Hali imehamia hata nchi za kiafrika, baadhi wanaenda makanisani kwa msukumo wa Jambo fulani lakini sio kumwabudu Mungu. Vijana wengi wako busy na maisha plus starehe na hawaoni umuhimu wa dini maishani mwao.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Baadhi ya dini zinafundisha ukatili, kuchinja watu na kuchoma nyumba za watu, ndio maana watu hawaoni hata huo umuhimu wa dini
Hakuna dini inayofundisha hayo. Hiyo ni dini yako imekuaminisha hayo na sasa unayashikilia kama ukweli kumbe siyo!
 
Hao wanaishi kimwili na siyo kiroho na karibu wote wapo hivyo, Mungu ni roho na tunapaswa kumuabudu katika roho na sisi roho zipo ndani na mwili nje hivyo viumbe waliokufa ndo wapo katika roho wanaweza kuwasiliana na Mungu kuliko sisi, hivyo hao wachungaji ilipaswa tangu utoto wao wawe hawajagusa dhambi na tangu utoto waishi mazingira ya kujitenga na maisha ya mwili wakae huko kanisani tangu watoto Ili dhambi isiwasogelee kiasi cha roho zao kuwasiliana na Mungu ila Sasa ndo hivyo uliona huko chuo.
 
There is no contradiction in polygamy and monogamy as these are practiced by different religions. It would be a contradiction, if christioanity practiced both. Also, no where in the bible is forbidden to marry more than one wife. The bible talks about marriage and does not say anything about polygamy or monogamy. Monogamy is a Western practice that is enshrined in their constitution.
 
siku za mwisho....

'Na kutokana na maasi kuongezeka upendo wa wengi utapoa....'
 
Waumini wengi wanawaona Viongozi wao wanatenda maovu mbali mbali, wanakaa kimya huku maovu yakiendelea kushamiri badala ya kuwakemea watenda maovu, wanawakumbatia the so called Viongozi wanaotenda maovu mbali ikiwemo mauaji. Sasa hivi baadhi wameacha kwenda misikitini na makanisani pia kuacha kutoa sadaka.

 
I stand with you . You nailed it
 
Sidhani wewe ni kato;iki. Hakuna mahali ambapo wakatoliki wanaambiwa waabudu sanamu. Zile picha siyo Mungu wala Yesu wala Bikira Maria. Ile ni mifrano na mfano ni "representation of reality but not reality itself".
Soma Kutoka 20:4.
Siku ya Ijumaa kuu Kuna sehemu ikifika ibadani huwa tunaambiwa inafuata ibada ya kuabudu msalaba. Ambapo huwa tunabusu msalaba wenye sanamu.
Halafu Ile mipicha tunayosema kuwa ni ya Yesu na wakati ni ya muigizaji flani tunakosea Sana kwa kweli. Sidhani Kama wakati wa Yesu kulikuwa na technologies ya upigani picha.
Anyway sitaki kubishana Sana. Muhimu tupambane kutenda mema ili siku ya mwisho twende mbinguni tukakutane na Yesu na Mungu wa ukweli.
 
Makanisa siku hizi yanafanana na dunia.. unaona kabisa hakuna tofauti kati ya huku duniani na kule kanisan.. sasa mtu anajiuliza akatafute nn kule..
 
Kusoma hakutoshi nimekuuliza una uhakika na ukweli wa hizi habari ? Hujajibu swali bado.
Basi inaoneka hukuelewa; sina uhakika nzazo ndio maana nashangaa kwa nini biblia inatueleza jinsi gani wafalme wa zamani walikuwa na wake wengi na michepuko juu alafu biblia hiyo hiyo leo inatuambia kinyume
 
Shida zikiongezeka wataongezeka kwenda kupata Opium of the Mass

Ingawa watu kugeuza imani kama vitega uchumi wanawapoteza wale ambao they need them more.... (Given the choice wanaona bora wateseke kivyao kuliko kuteseka huku wanakamuliwa)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…